Search results

  1. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu hii shida inaweza kuwa nini ? Haihami kwenye hilo neno Hl
  2. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nashukuru, Nimekupata vema, ngoja ninunue hiyo mp3 nifanye mambo.
  3. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nahitaji kuiweka kwenye Sp 1002 kama inayo onekana kwenye picha
  4. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nipo daslam, idea ya ufundi nnayo. Nilipita zamani
  5. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu hii mp3 kit inauzwaje ? Unaweza toa mwongozo wa namna ya kuifunga?
  6. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Naiwe hivyo mjumbe wetu. Ukirudi hapa kwenye uzi ulezee kwa upana uzuri wa huo mziki na utofauti wake upoje ukilinganisha na miziki miwili ya awali uliyo isikililiza, kodtec nawa filbert.
  7. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Hapana mkuu makochi hapa hayahusiki nilidhani wawezi piga picha ya mziki yenyewe bila kuonyesha mazingira mengine ya sebule.
  8. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Alipaswa kutuma halisi kama ile yako
  9. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Wadau wa uzi huu tunakutuma uende ukausikilize huo mziki na ulete mrejesho hapa . Learning mode activated
  10. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Hicho kisanga ndiyo nnacho kitaka mimi cjajua vitu vinavyo hitajika zaidi ya hilo li spika na gharama zake kamili niaze kuvikusanya kimoja baada ya kingine
  11. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Bila shaka Pioneer mkuu litakuwa linakita zaidi ckuwa na jua spec za kodtec . Itabidi nifanye namna nikusanye mazaga taratibu kodtec naona hawauzi tena hilo zaga
  12. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Mkuu hilo zaga lako kwa uelewa wako ukilinganisha na mziki wa kusuka kama ule wa filibert spiker moja la pioneer na twitter zake upi utakuwa na gonga sana?
  13. Pangah2011

    Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

    Wanapo lipa Kodi maemsi wote
  14. Pangah2011

    Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

    Kafungiwa kujihusisha na mpira sio uemsi
  15. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    HIi naiunganishaje kwenye subwoofer lilsilo na Bluetooth nachomeka wapi
  16. Pangah2011

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Huu mzigo uki kamilika tuma picha tuuone
  17. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Kwahiyo kwa ndani itakuwa hivi?
  18. Pangah2011

    Kodtec Speaker systems

    Mkuu hapo uli mwelewaje? Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko
  19. Pangah2011

    Jinsi ya kudhibiti matumizi ya mtandao ya mtoto

    Kwamba hao watoto wana maujanja zaidi ya Chief
  20. Pangah2011

    Mi Air Charge Technology

    Samahani mwenye uzi huu naomba kuuliza swali tofauti kwako na wengineo wenye majibu. Ni app gani naweza tumia ambayo inaweza block internet kwa baadhi ya app kwenye simu ya android? Pia ni app gani naweza itumia ambayo inaweza funga baadhi ya app kwa masaa kadhaa ambayo nitaamua mwenyewe?
Back
Top Bottom