Search results

  1. M

    St. Augustine University of Tanzania

    Km kuna watu wanafikiri kwa kutumia makalio ww ni mmoja wao.....pumbavuu sanaa
  2. M

    SAUT-Kwa hili la ongezeko la cost ya accomodation, mmechemsha!

    Mnaojidanganya 1st yr et mpk boom litoke ndo mripot itakula kwenu shaur yenu,boom haliwez toka mpk ukafanyiwe usajili kuthibtisha km kwel umeripot chuo au vp. Hawawez kukuwekea boom wkt bado hujapokelewa chuo. Ucpuuze utajutia buree!
  3. M

    Nawapa ushauri wa bure mliofeli GS form six.

    Acheni kupotosha na kuwakatisha tamaa hawa wadogo zetu jaman. Kuna jamaa zangu wa3 2po nao sasa mwaka wa 2 yaan mwaka wa3 watarajiwa walikuwa na f gs na wapo hapa na mkopo km kawa. Msijali wadogo zetu chuo mtapata,karibuni sn.
  4. M

    Kama m2 ana f ya G.s anaweza pata chuo. Shahada??

    Unapata chuo bla shaka na mkopo utalamba km unavigezo vngne coz kufel Gs co kigezo cha kukosa mkopo. Karibun vyuoni ila kuwen makin msichague coz zenye cutoff point kubwa kuliko matokeo yenu. Ishu hyo iliwacost weng mwaka 2011/2012. Hongera!
  5. M

    Taarifa kwa wale wa SAUT mwanza

    Hv ni kwa 1st year tuu au wote?
  6. M

    Kwa waliokosa Mikopo Heslb

    Polen sana ndg zangu kwa mliokosa mikopo,lkn nataka kuwaambia kwamba kamwe msikate tamaa kuna altenative nyingi; kwanza,unaweza kutafuta taasisi zingine za serikali au binafsi na kuomba wakudhamin kukusomesha, Pili,unaweza ukakata rufaa mara tu baada ya kuripoti chuon,au ukasoma mwaka wa...
  7. M

    Na ucheleweshwaji wa matokeo heslb.......click here

    Saiz website yao haifunguki inawezekana bado wanayaupload. Tusubr!
  8. M

    Naombeni msaada (SAUT)

    Hyo coz inapatikana main campus tu! Karibu Malimbe-Mwanza
  9. M

    kwa Mnaojua SAUT

    Karibu Malimbe - Mwanza main campus!
  10. M

    Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa!

    Thnx much,huyu sisto john mkakilwa ni grade A chet! Nimekupata vlivyo!
  11. M

    Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa!

    Mimi naomba nicheckie jina la Sisto John Mkakilwa,nitashukuru sana best!
Back
Top Bottom