Search results

  1. P

    seriously natafuta mchumba

    unatafuta mchumba na sio mume!!! ok, Je unafikiri ni kwa muda gani? na baada ya hapo una mpango gani?
  2. P

    Kumlazimisha Nassari kuomba radhi ni bora zaidi kuliko kumtetea!

    Kumekuwepo na maneno mengi sana juu ya tamko la mbunge wa Arumeru Mashariki J Nassari,na zana ya ukanda ama ubaguzi kwa baadhi ya watu na wanachama wa chama cha mapinduzi na hata viongozi wake kwa kuchukua hili kulifanya kuwa ni ajenda yakujadiliwa na Taifa zima,wamesahau kuwa watanzania...
  3. P

    Kauli ya Nasari imekuwa mtaji wa CCM wanadai katumwa na Dr. Slaa

    Licha ya serikali ya ccm kuwa kwenye hali tete ya kushindwa kufikia malengo au kutekeleza ahadi zake katika chaguzi zake za 2005 na 2010 na kuendelea kukimbiwa na wimbi kubwa la mashabiki kwa kukosa mvuto bado chama kimeshindwa kukaa chini na kujipima kujitafakari na kutafuta njia mmbadala za...
  4. P

    Msimamo wa CCM kuhusu tuhuma za kuhusika na mauaji ya wana-CHADEMA

    Ushauri wangu kwa Nape,nikuombe utambue kuwa kuna hoja ya serikali na ya chama sasa katika hili sijakuelewa umelizungumzia kama nani? Je msemaji wa serikali au chama cha mapinduzi? nakuomba uwe na tafakari kabla ya kuzungumza unayo zungumza na kujipima pia.
  5. P

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Sina shaka kusema kwa muda mrefu watanzania tumekuwa na shauku ya kupata watu makini ambao bila shaka wanaweza kuondoa kero za mfumuko wa bei,na matumizi machafu ya fedha za umma na kuleta tija au amasa ya utendaji ndani ya serikali na nje ya serikali, Kwa baraza hili Je ni chombo salama cha...
  6. P

    Hello

    hellow wanajamii am Peter Massawe.
Back
Top Bottom