Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku...
Tunapenda sana shortcut bila kuweka juhudi. Mtoto anakaa kwenye TV Jumatatu mpaka Jumatatu, mzazi yuko busy na iPhone 15 then anataka TEC wamuingize tu kwenye shule zao bila kufaulu.
Wameweka criteria ya kujiunga na shule zao na mtu ukitaka unafuata taratibu. Ni mchakato kwenye shule na vyuo vingi duniani.
Hali kadhalika, kuna vigezo vingine kama tabia n.k. Ukiingia ukaleta tabia zisizokubalika unafukuzwa mara moja.
Tumeona quality ya wanafunzi wa hizo shule na hata...
Uwezo wa mwanaume asiye na tatizo, kumridhisha mwanamke kunategemea sana wote wawili. Mwanamke akiwa mchafu, mzito, hana manjonjo na hapendani na huyo mwanaume, asibashiri kuna dawa zitamtibu mwanaume.
Kuna baadhi ya wanawake wanachangia sana kutengeneza wanaume kuwa katili. Wakipendwa sana wanaleta dharau. Wanaacha wanaume kwa ukatili tena kwa kuwadhalilisha pasi kujali. Matokeo yake wanaume wanabadilika na kutowajali kisha wanaanza uanarahakati.
Wanawake wanaojua kuwajali na kutodharau...
Kasikilize wataalamu wa sheria wakielezea kwanini huu mkataba ulihitaji ratification ya bunge. Huu mkataba unagusa utungaji na ubadilishaji wa sheria za nchi. Ni kanuni za kisheria na isingewezekana bila kupita bungeni.
1. Kukosa mipaka kwenye mahusiano na jinsia me.
2. Uchafu
3. Uvivu uliokubuhu
4. Udangaji. Mtu maarufu anaweza ondoa utu wake
5. Ukorofi na ulevi wa kukera
Sio kila mtu ataelewa usemalo. Wanawake wengi sana wanapitia unyanyasaji wa kijinsia na kuvumilia hadi wengine kufariki kwa kuhofia kutopokelewa makwao na kuhukumiwa na jamii.
Shule nzuri ya maisha kwa watoto ni namna unadhibiti hisia pale unapokwazwa kwa makusudi na mtu mwingine. Onyesha hekima nao watakuheshimu na kujifunza jambo.
Hii ndio revenge kubwa kwa mtu anataka kukuabisha mbele ya watoto.
Sio visingizio, wapo wenye changamoto ila kiuhalisia wanaume wote wanapata hamu ya kwenda round nyingi kama hayo yatazingatiwa ila fanya haya uone.
Kuwa mchafu - hili la msingi kuliko yote
Kuwa mzembe kiafya, na wewe unahema kama tractor
Uwe kero, kelee kama radio.
Tendo lenyewe ubunifu huna...
Mwanaume akiwa anapata amani toka kwa mwanamke, akampenda sana, mwanamke akajijali kiusafi na kiafya, na akawa hodari kwenye tendo, uwezekano wa yeye kwenda round nyingi ni mkubwa sana. Kinyume cha hapo mwanaume hawezi kuwa na hamu ya tendo na huyo mwanamke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.