Search results

  1. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Nafikiri hapa sio uduma, hapa ni kitu unacho promote ni tofauti na kile unachokwenda kumkabidhi mteja quality ya service and trust natoa mfano halisia wangu, Tulikubaliana malipo ya web design kwa Tsh250,000/= kisha nikatoa advance ukasajili web yangu kwa Tsh90,000/= unlimited na sharti ni kua...
  2. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Angalia nisije weka details zote hapa nikazidi kukuchafua....sawa mimi ni mmojawao niliokufahamu pitia hapa JF na kukupa kazi na baada ya malipo tuu mauzi yalipoanzia hapo tena bora hii bei ya sasa Mwanzoni ilikua 250,000/= .... bahati mbaya nipo mbali ila hela yangu siku itarudi tuu.
  3. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Ni mtu ambaye sio mwaminifu amini hivyo nilishampa kazi ya web na nilimlipa lakini kazi akunifanyia ila alichoniweza ni kuomba malipo yake haraka wakati akijua ni nini anachokusudia.
  4. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Wee jamaa ni tapeli......kuweni makini na huyu mtu.
  5. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Thanks
  6. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Kaka hizo technical kwangu ni ngumu kidogo kukujibu kiufasaha. Elewa condition ya gari ipo vizuri
  7. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Reasonable, zidhani hata kwa kipindi hicho ungeweza pata kwa hiyo bei kuanzia kununua na mpaka kuimiliki.
  8. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Mawazo yako, Gari ni utunza na kama unaifanyia service kwa muda stahiki
  9. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Ni ndogo sana au??
  10. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh) Registration Year/Month - 2004/08 Odometer - Before 90,667km after check photos attached. Displacement - 2.3CC Serious buyer 0684811976
  11. Gerald

    Natafuta Landrover 110

    Kwa mwenye nayo anipe maelezo na bei yake pia. Nitafuta kwa 0754778889, kama upo serious. it is in good condition.
  12. Gerald

    The most powerful words

    *WHEN TO BE SILENT* 1. Be silent - in the heat of anger. 2. Be silent - when you don't have all the facts. 3. Be silent - when you haven't verified the story. 4. Be silent - if your words will offend a weaker Person. 5. Be silent - when it is time to listen. 6. Be silent - when you are...
  13. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    100% agree with your comment
  14. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    Kodi, P.A.Y.E, Nyumba, Maji, Umeme, Ada za Shule kwa watoto na chakula. Kodi nyingine za ovyo ovyo Kama Mpesa, Simu, Bank, Nauli na mengineyo ni kuongezeka kwa bei za bidhaa kwa mlaji bado kwa mstaafu or mfanyakazi mwenye Nyumba na Kiwanja inabidi alipia hati ya Kiwanja na Nyumba( property tax)...
  15. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    Tokyo40 Nashukuru kwa kumjibu Vyema na kumtoa ukakasi kuwa above 18yrs Kijana anaingizwa Kwenye benefit za kujikimu na Nyumba etc. @ MkamaP nimefanya reference ya Mwalimu cause ndio hao wanaopokea mshahara mdogo katika serikali yetu hiyo laki5 kwa Kima cha chini cha mshahara wa serikali umetoa...
  16. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    Nilitaka kukujulisha umelita mswada ukakopi and paste kutoka europe ili na sisi tulipe kodi hata ya TV je umefanya research hata ya kulinganisha Kiwango cha chini cha Mtanzania anacholipwa?? Nimekupa mfano wa mwalimu 300k take home, hapo bado Kodi kadhaa, Nyumba, Maji, Umeme, simu, Bank, chakula...
  17. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    Unemployment insurance is a joint federal-state program that provides temporary benefit payments to employees who are out of work through no fault of their own, until they can find another job. These days, finding another job is no small feat: Many workers have found themselves out of work for...
  18. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    Kumbuka na kuongeza kipato kwa mtumiaji/ mshahara wa mwalimu na hizo kodi ni unamsaidia or unamkandamiza??? Unafananisha Africa na Ulaya Ujui Above 18yrs old huyu kiumbe analipwa hela ya kujikimu kwa mwezi?? Na mengineyo.
  19. Gerald

    Macstage real estate

    Tunapenda kutambulisha website Macstage real estate | Powered by Topgcstech web solution ambayo ina husika na matangazo yanayohusu Ardhi,Nyumba kwa yeyote anayetaka Kuuza/Kununua unaweza kutupia humo. Ni site inayojihusisha na REAL ESTATE. Pia tunapokea ushauri wa maboresho ya website zaidi...
Back
Top Bottom