Search results

  1. Mtumbatu

    Daraja la Tanzanite au Kigongo Busisi liitwe Daraja la Ali Hassan Mwinyi

    Huioni ??? unahitaji miadi na Dr. Hussein Datoo haraka Dar es Salama piga simu 022 211 5190
  2. Mtumbatu

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Tumewahi kula kwao si siku zote ndizo zinatoka Mologolo, na mchele unatoka Mbeya na sukari inatoka Mtibwa ??? tukipunguza jeshi letu litakuwa na nani nyuki ???
  3. Mtumbatu

    Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Polisi wa division IV and division 0 kwenye matokeo ya kidatu cha nne wana uwezo huo ???
  4. Mtumbatu

    Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

    Mazrui sio katika watakaolio na kama atalia basi atakuwa mru wa ajabu maana zabuni za kujenga hospitali ya wilaya zinafanywa na kampuni yake na viaja wake. sasa huwezi kunyea unapokula kwa utamaduni wa Pwani
  5. Mtumbatu

    Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

    Wasi wasi wa nini sasa, kwa aliyemfahamu, wa ukosefu wa sukari kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani au mikopo kutoka bodi ya elimu ya juu ???
  6. Mtumbatu

    ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Kikatiba Rais wa Zanzibar hapaswi kufuata ushauri wa mtu yoyote, ila atasikia ushauri, kuufuata na kuutoufuta ni juu yake hashinikizwi kisheria kabla ya kutoka wangepigana kunabadilisha hilo kwamba Rais awe anaufuata ushauri
  7. Mtumbatu

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Kwani shida iko wapi, Marehemu Mzee Karume alikuwa Rais wa Zanzibar hakuzaliwa Zanzibar na alizikwa Zanzibar, Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa Rais wa Zanzibar hakuzaliwa Zanzibar na amezikwa Zanzibar, sasa shida iko wapi ??? na kwanini Mwinyi asizikwe Zanzibar. Mzee Ali Hassan Mwinyi...
  8. Mtumbatu

    Swali Chokonozi: Kwanini Mzee Mwinyi hakuzikwa kwao Mkuranga kapelekwa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/live/3JB7eziufvU?si=12YP59QZ-LKjGrvz
  9. Mtumbatu

    Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Yuko sahihi kwa mujibu wa lugha ya malkia akimaanisha mtu huyo
  10. Mtumbatu

    Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Serikali haina pesa ...
  11. Mtumbatu

    Tanzania na mgogoro wa bab el mandeb

    Tanzania Ports Authority (TPA) na Zanzibar Ports Authority (ZPA) na hili mkalitazame, tangu mgogogoro wa Bab el Mandeb uanze na meli kuzunguka bara la la Afrika kwenda Ulaya (Mediterranean) na Marekani kupitia bahari za Tanzania (Indian Oceana), jee kuna ongezeko la kiasi gani la meli za...
  12. Mtumbatu

    Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

    Tena kwenye jambo la kifo (rambi rambi) kwa nchi mfadhili, Ndio namkumbuka Magufuli na kumuelewa kwanini alikuwa anatumia Kiswahili zaidi. Ingekuwa ni salamu za posa kule kaskazini magharibi basi wangerudisha hiyo posa. maana umewakosea.
  13. Mtumbatu

    Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

    Kisha tuiachie X iweke tafsiri, kuliko kutumia lugha ya malkia halafu tunaonekana wa hovyo tu.
  14. Mtumbatu

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Na huko Uingereza eti alisoma degree mbili kwa pamoja kati ya mwaka 2011 - 2015 tena Birbeck College, University of London Bachelor's degree, International Relations and Affairs · (2011 - 2015) Bachelor of Arts (BA), Global Politics & International Relations · (2011 - 2015) Haingii akili mtoto...
  15. Mtumbatu

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    ... chawa wa mama wamemshindanisha na mtu na nusu, ni kama walimtakia kupigwa masumbwi katika round ya kwanza in knock out linganisha
  16. Mtumbatu

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Wazungu waliangalia uwezo wake wa kuchara kiswahili kwa sababu alikuwa anahudumia idhaa ya propaganda ya BBC kwa Afrika Mashairki, huhitaji jengine zaidi ya kusema kiswahili kwa ufasaha na chenye ushawishi wa wazungu kufikia malengo yao ya kisiasa Afrika Mashariki
  17. Mtumbatu

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kisha afanya degree mbili kati ya 2011 - 2015 Birkbeck College, University of London, huku akitokea darasa la saba jiongeze, jamaa ni bumbla ana karama ya mdomo tu maana mtoto wa Dar es Salaam, lakini kichwani hamna kitu pale.
  18. Mtumbatu

    Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

    ..mtu ndani ya miaka mitatu anasoma degree mbili katika chuo hicho, jiongeze
  19. Mtumbatu

    Mwenye CV ya Msemaji Mpya wa Serikali atusaidie? Atueleze amewahi kufanya nini cha kukumbukwa kwenye maisha yake ya utumishi au siasa?

    Mobhare Matinyi ni mtu na nusu kuliko yule wa BBC milokuwa mkimpigia debe ... zaidi ya saba alioloondoka nalo hana zaidi.
Back
Top Bottom