Search results

  1. K

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    tatizo watumishi wa umma wanashindwa kutatua jambo linapoanza mapema na madhara yake ni haya, hili jambo karibuni mwezi mzima linazungumzwa bila ya kufikia mwisho, ilipaswa serikali ya mkoa kusisitiza utaratibu uliotumika toka awali ndio uendere na kama ingeshindikana basi wenyewe ndio...
  2. K

    Kuna faida gani kumtega mwenza wako

    hakuna faida , kwani njia nzuri ni kutafuta ustarabu wa kuachana kama ikithibitika ni kweli hanatoka nje, na kutoa nafasi kwa yule anyetoka nae na ww utafte mwingine, ila inauma isee kwani ukifikiaria gharama za harusi na matunzo kwa kipindi chote inaumaa mno, cha msingi ni kumuomba mola...
  3. K

    wanahabari wetu na uongo wa dkt.mery mwanjera kujiunga na chadema

    kwa hakika tasnia ya habari tanzania kwa sasa inaonekana kama mkombozi wakati mambo muhimu yanayikabili nchi kiutawala, lakini doa kubwa kwa upande wa siasa ndio uongo unadhihiri, kwa hili la mery mwanjera[mb] viti maalum c.c.m je mmelipata wapi?
Back
Top Bottom