WAANDISHI MAALUMU
MOSHI,na Dodoma
MZIMU wa mgawanyo wa fedha za maendeleo ya jimbo umeendelea kumtafuna mbunge wa Moshi vijijini Cyril Chami huku akihaha kuitisha vikao na waandishi wa habari ili kukanusha na kutokomea kusikojulikana.
 
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka katika...
Nyumba hii inauzwa ipo vingunguti karibu na sheli jijini dar es salaam bei ni maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana katika namba 076437001,au 0718 370001
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume wenye maradhi kama hayo sambamba na presha kisukari,na maumivu ya mgongo wasiliana naye kwa namba...

Ponone and company limited amejibu tuhuma za kukwepa kulipa kodi sambamba na kushusha mishahara ya wafanyakazi pamoja na kuwalipa baadhi ya wafanyakazi bila kuwepo kuwepo kwenye pay role
panoneamejibu shutuma hizo akidai kuwa ni wivu wa kibiashara a kwa taarifa zaidi ameshamaliana na mchaga...
Aaah rombo kuanzia rongai tarakea usseri mashati mkuu mamsera na himo ni aibu tupu na huyo occid yaani majebere tena anajenga bonge la nyumba kwao bariadi kama vile white house je ni hii kazi ya polisi ambyo wana miezi mitatu hawajalipwa?
Huko rombo ukimpeleka mtuhumiwa polisi ni mtaji wa occid...
Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama matakwa ya kazi yanavyoelekeza.
Wanachama wa shirika hilo wamekuwa wakitozwa kiwango cha sh 15000...
Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama matakwa ya kazi yanavyoelekeza.
Wanachama wa shirika hilo wamekuwa wakitozwa kiwango cha sh 15000 hadi...
BUNDI ALIYEKUWA AKINYEMELEA KWA KASI CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO kncu SASA AMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA WAAFANYAKZI KUTISHIA KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA KATIKA UTENDAJI KAZI WAO NA MWENYEKITI WA BODI MERNARD SWAI
TAARIFA ZILIZOPO NI KUWA KILA KUKICHA HALI INAZIDI KUWA...
Bundi aliyekuwa akinyemelea kwa kasi chama kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro (KNCU) sasa amechukua sura mpya baada ya waafanyakzi kutishia kugoma kwa madai ya kuingiliwa katika utendaji kazi wao na mwenyekiti wa bodi Mernard Swai.
taarifa zilizopo ni kuwa kila kukicha hali inazidi kuwa...
HATIMAYE wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha na kuuza mafuta ya jumla na reja reja Panone and company limited wamejikuta wakiumaliza vibaya mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya 2013 wakiwa katika hali mbaya ya kiuchumi huku mmiliki wa kampuni hiyo akijenga maghorofa mithili ya uyoga jicho la...

anatekeleza ilani ya ccm 2010 -2015 tumejaribu tumeweza na tunasonga mbele!mbona wanafunzi kufaulu darasa la saba kutojua kusoma wala kuandika ni jambo la kawaida hebu pata picha huyo ni bosi wa walimu
akipigana mama na baba yako huku huweki.akipigwa dada yako na mumewe huku unakimbia huweki,ukpigana wewe katu huweki'mashoga wakipigana mchana wakigombania mwanaume huweki,sofia simba na banj huweki tena ya waziwazi na usalama upo na kamera acha upuuzi we gamba!
mimi sio rais ila nimeiona njia pekee ya kukomboa zao la kahawa ni pamoja na kuwaondo baadhi ya wajumbe wa bodi ambao ni wabadhirifu kama mernad swai mwenyekiti wa kncu na vilwe vile mwenyekiti wa tccco ambayo imekufa lkakini dawa hasa ni kuchagua chama makini 2015 katika kuongoza hii nchi...
HATIMAYE ALIYEKUWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA KABLA YA KUPIGWA CHINI NA JK CRYRIL CHAMI MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI AMEIBUKIA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KNCU AKIWA NA MWENYEKITI WA BODI YA CHAMA HICHO MERNAD SWAI NA KUKIMBILIA KWA RC GAMA KUOMBA KNCU WAPEWE KIBALI CHA KUSAMBAZA SUKARI
(1)CHAMMY...
Hatimaye aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara kabla ya kupigwa chini na JK Cryril Chami mbunge wa moshi vijijini ameibukia chama kikuu cha ushirika kncu akiwa na mwenyekiti wa bodi ya chama hicho mernad swai na kukimbilia kwa rc gama kuomba kncu wapewe kibali cha kusambaza sukari
(1)Chammy...
Chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro KNCU sasa kimekuwa katika hali mbaya ya kiuchumi hali kadhalika na kiutendaji hali inayokipelekea chama hicho kikongwe shimoni.
Hali hiyo inatokana na mwenyekiti wa bodi ya chama hicho mernad swai kuendesha chama hicho mithili ya familia yenye...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.