Search results

  1. P

    nina swali la msingi sana,nani ana haki kwanza ya hii kitu naona inaleta compe

    Mwenye haki mtoto coz ding amekua kitambo.......
  2. P

    Naishi na mke ambaye sina mapenzi nae nifanyeje?

    Watenda dhambi kwan hata biblia inasema kuish na mwanamke usiyempenda ni dhambi kwani hutomjari kama inavyopaswa
  3. P

    Watu wanavituko

    Jamaa mmoja akizungumza na mwenzake mazungumzo yalikua ivi MWENZAKE bana mimi nataka kununua tv JAMAA acha ufujaji wa pesa tv yanini wakati hata siku moja hutokuja kuonekana kazi kuwaona wengine.MWENZA duu uh hii kali
  4. P

    Maisha kama Bongo Star Search..Uzushi mwingi....

    Dat'z true brother nimipenda hii
  5. P

    Cheki dictionary ya mapenzi hiyo!!

    Du hii nimeipenda kuna jambo nimejifunza mambo mengi sasa ni kuwa makin na kufuatilia kwa umakin nahis kuna jambo la muhimu
  6. P

    Mwanaume aliyelelewa na mama peke yake, ni mtu wa aina gani?

    Eeeh bhana saafi kwa hii maada but nataka kukueleza kwamba mtoto alie lelewa na mama huwa mwenye busara na mwenye uchungu na utafutaji kimaisha kwani anapozikumbuka shida alizopata na mama yake ni waz na dhaili hawez kuwa mzembe ila ktk kipengere cha kumsamehe mding huwa tunakua wagumu kutokana...
  7. P

    shost yuko njia panda

    Kipi kinachomuweka njia panda sasa? Kama amefika kwa huyo mdingi afunguke. watu wasitoe mawidha ya mwisho wa siku ikawa bule, coz mtu akipenda huwa ashauliki.
Back
Top Bottom