Search results

  1. N

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    Ndugu zangu wachangiaji wa hizi topic mbalimbali zinazokuja hapa Jamii forum. Labda ningeomba muongozo kidogo. labda nilikuwa nimepotea kwa muda nilivyorudi nikakuta home page ya Jamii Forum imebadilika kabisa. zamani ulikuwa ukishalog in kwenye home page unakuta thread zote pale unachagua ni...
  2. N

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    Ndugu zangu wachangiaji wa hii mada ya mihadhara, napenda tu kusema ukweli hawa wenzetu waislamu ni watu wa ajabu sana. Tunachokisema ni kwamba hatuko against waislamu bali against uislamu. Wao waislamu wamekuwa hivyo kulingana na walichofundishwa kutoka kwenye vitabu vyao vya dini, ikiwemo...
  3. N

    Why I am Not A Christian - Bertrand Russell

    Samahanini wasomi wa JF sikuwepo kwa muda mrefu sana na nilikuwa mara nyingi napenda kusoma thread za dini, baada ya kupekua pekua kidogo ndo nikakutana na hii ya Russel. tangu nimeanza kusoma sijamkuta Mtindio wa Ubongo yupo? Kwa leo ningetoa tu ushauri kidogo kwa Blue Ray, sidhani kama Max...
  4. N

    Why I am Not A Christian - Bertrand Russell

    Samahanini wasomi wa JF sikuwepo kwa muda mrefu sana na nilikuwa mara nyingi napenda kusoma thread za dini, baada ya kupekua pekua kidogo ndo nikakutana na hii ya Russel. tangu nimeanza kusoma sijamkuta Mtindio wa Ubongo yupo? Kwa leo ningetoa tu ushauri kidogo kwa Blue Ray, sidhani kama Max...
  5. N

    Ben Vs Kikwete

    Haijalishi umefanya mangapi mazuri kafanya mazuri ndiyo lakini mazuri yote aliyofanya yanazimwa na ufisadi wa hali ya juu waliyoufanya yeye na jopo lake la watendaji akiwemo huyo aliyeko sasa kikwete. kikwete hawa aliyowarithi wamekuwepo kwa muda mrefu kwa sababu naye ni mhusika hawezi...
  6. N

    Nitapambana na mafisadi hadi kifo

    Thanx M/Kike but subsidizing wouldnt solve the long standing people's mayhem. the only solution JK and his government needs to do amicably is to dissolve all this horrible and horrifying contract Tanesco entered with all these unscrupulous power companies. this is were all the Tanesco revenue is...
  7. N

    Nitapambana na mafisadi hadi kifo

    Nakubaliana na quote ya hapo juu kuhusu mama Kilango. Kweli siku ile ya kujiuzulu kwa waziri mkuu alisema hawezi kuwaachia akina zito ndiyo waikosoe serikali. huyu mama anaonyesha bado anadhani kwa moyo wake kabisa kwamba watu wa upinzani hawapaswi kupata credit yoyote kwa lolote walisemalo juu...
  8. N

    Nitapambana na mafisadi hadi kifo

    Mama Kilango kweli anahitaji watu wote wampe tafu. lakini napenda kumuliza mama kilango yeye na hao wabunge wote wa CCM walikuwa wapi kwa muda wote huo mambo hadi yamefikia hatua mbaya kiasi hiki ndo wanajaribu kupaza sauti? Walifikiri ufisadi unawaangamiza wapinzani peke yao na familia zao...
  9. N

    Vingunge vs Kinje Kingunge, Court bans disco at Masaki Bar

    acha hao wakubwa wapige kelele, wanapiga kelele za kusumbuliwa kwa nini? hiyo orodha iliyotajwa ya waliokwenda mahakamani, kuna majina kama Kahama na nyalali. Hao si waume zao au familia zao zilishakaa sana madarakani na ndo waliohusika na hii mipango miji mibovu tunayoiona sasa hivi na matokeo...
Back
Top Bottom