Search results

  1. Mjuni Lwambo

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Asipoipenda hiyo dili itakuwaje?
  2. Mjuni Lwambo

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Je wasipofika inakuwaje?
  3. Mjuni Lwambo

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Umeshapiga laki mbili mbili ngapi hadi saa hii dokta?
  4. Mjuni Lwambo

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Hawa wayahudi nao waache upumbavu, wanaanza kupiga piga mabomu hovyo mara Iraq sijui Syria mara Iran ili iwe nini sasa? Watatusababishia maisha magumu tu hawa wapuuzi..
  5. Mjuni Lwambo

    Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    I see! Ibara ya 18 ya katiba inakulinda ndugu yangu. Una haki ya kutoa maoni na kueleza fikra zako.
  6. Mjuni Lwambo

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Jamaa lina akili sana hilo li Ayatola. Vita haitakuwepo, limetuma madron 300 ili kuonyesha tu kwamba si kinyonge.
  7. Mjuni Lwambo

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Hahahaa, amekukosea nini Ayatola khomeini.
  8. Mjuni Lwambo

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Turudi nyuma twende mbele, au twende nyuma tu.
  9. Mjuni Lwambo

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Hivi nyie mkishashiba ugali huwa mnaongea tu mnavyojisikia. Vita vya dunia ashindwe kusababisha Urusi huko Ukraine waje wasababishe hao wajinga wawili tu? Muwe mnalala tu kama mmeshiba sana.
  10. Mjuni Lwambo

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Yeah, pamekaa vibaya hata ajali ajali huwa zinatokea.
  11. Mjuni Lwambo

    Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    Hawa watu nao safari hii intelijensia zao zimefeli. Ama, Iran anawamislead maksudi. Ayatola ni mtu makini, hawezi kuanzisha vita na mayahudi.
  12. Mjuni Lwambo

    Sijawahi kusikia Sifa Mbaya kwa Wanawake wenye Majina haya yafuatayo hakika Mwenyezi Mungu azidi Kuwabariki Maishani

    Uko sahihi kabisa, hata yeye ameleta uzi kuchangamsha genge tu. Inategemea tu na watu uliobahatika kukutana nao. Mimi ningesema hakuna Isabella mbaya. Nimekutana na akina Isabela watatu ni visu hatari. Mitoto miblack beauty rangi ya chokoleti imepanda juu na mashepu mazuri kinoma.
  13. Mjuni Lwambo

    Kwanini Wanawake wenye Sauti Mbaya katika Simu au hata Kikawaida huwa ni Warembo mno na wale wenye Sauti nzuri huwa ni Wabaya sana wa Sura?

    Sijui hao uliokutana nao mkuu, mimi nilikuwa na mashine mbili, moja inakaa Uyole nyingine Kalobe, wale mamanzi ni visu usipime, wana sauti nzuri customercare wa mitandao ya simu wanasubiri.
  14. Mjuni Lwambo

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Nilimpeleka mchepuko wangu kutoa mimba, kwa jinsi alivyokuwa analalamika nikahisi daktari anakula mzigo kwanza kulainisha njia. Walivyokuja kuniita nikagundua kumbe ni wasiwasi wangu tu.
Back
Top Bottom