Search results

  1. F

    Lema asema tuwaache Wamarekani wawepe watoto chakula, asema yeye haoni shida

    Tunalisha kuku wetu tetracycline tukiamini kuwa watanenepa. Dawa za ukimwi ni dili kwa wafugaji na wapika pombe za kienyeji. Tunaongeza maji (ambayo tunajua wenyewe yanakotoka) kwenye maziwa, tunatumia nyanya mbovu kutengeneza tomato sauce n.k. Halafu unasema jini likujualo halikuli...
  2. F

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Na uthibitisho mwingine ni tangaza shughuli mtaani halafu weka masinia ya wali na maharage uone watoto na watu wazima watakavyofakamia. Hawa vijana ni wajinga mno. Amandla...
  3. F

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Unazidi kuthibitisha ulivyo juha. Amandla...
  4. F

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Msipende kutukana maana hamkawii kuonyesha ujuha wenu. Hao wamarekani wanaanzaje kupeleka chakula Sudan, Somalia na hata Haiti? Kwa ujuha wako unadhani hivyo vimchele walivyotuletea ndio umemaliza kabisa akiba yao ya mchele kiasi kuwa hawawezi kusaidia nchi nyingine? Hawa watu wanawajengea...
  5. F

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Kwa sababu Bashe ameukataa ndio unaamini kuwa wamarekani hawakuombwa msaada huo? Huo msaada umepitaje kote huko bila ushiriki wa serikali? Una uhakika gani kuwa serikali yako haikuomba kujumuishwa katika hiyo program ya serikali ya Marekani? Tunatoa watu ubavu wa kumtukana mtu anayetusaidia...
  6. F

    Rais wa zamani wa Chama cha walimu, Gratian Mukoba achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera

    Sio dhambi kumuelezea kwa jinsi anavyomjua. Watu watajitokeza kama anasema uongo. Amandla...
  7. F

    Rais wa zamani wa Chama cha walimu, Gratian Mukoba achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera

    Kigezo kimoja cha commitment yake ni muda aliokuwa mwanachama na mchango wake pia. Watajitokeza wengi uchaguzi unapokaribia ambao nia yao ni kujiongeza value ili watamaniwe na vyama vingine. Amandla...
  8. F

    Rais wa zamani wa Chama cha walimu, Gratian Mukoba achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera

    Amekuwa mwanachama wa Chadema kwa muda gani? Amandla...
  9. F

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Kwani unafanya nini ambacho hautaki akione? Tofauti na unavyodhani yeye kuweza kuona eneo lako ndio anakuongezea usalama. Mkivamiwa au likitokea janga lolote ataweza kuwasaidia. Hata ungeweza kujenga ghorofa usingeweza kumzuia kukuchungulia. Kubali tu hali na ujitahidi kuishi nae vizuri maana...
  10. F

    Nyie mlionishauri nimpe

    Kama hataki kutumia condom jua kuwa hana nia nzuri na wewe. Amandla...
  11. F

    Kiongozi wa Bavicha, Deusdetit Soka aliyekuwa mahabusu adai amepigwa sana

    Hairuhusiwi hata kupigwa kidogo. Amandla...
  12. F

    Pallangyo wa CHADEMA ndio awe Mgombea jijini Arusha 2025

    Na asipofutwa? Amandla....
  13. F

    Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

    Katibu Mkuu wa Chama ni mtendaji Mkuu wa Chama chake. Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa wake. Kwa hiyo anaongoza watu wote wanao ishi katika mkoa wake bila kujali vyama vyao. Aidha, ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wake. Amandla...
  14. F

    Pallangyo wa CHADEMA ndio awe Mgombea jijini Arusha 2025

    Kwani kuna mtu amekatazwa kutangaza nia? Amandla...
  15. F

    Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Maneno mengi. Weka data hapa. Usipende kutafuniwe kila kitu. Ukweli sio kwa sababu unasema. Ukweli ni kwa sababu umeujengea hoja. Umesema Mwalimu alikuwa mbaguzi wa kidini halafu unamtolea mfano mtu aliyebaguliwa kwa sababu ya dini kumbe nae ni mmisheni kama Mwalimu. Kwa nini umlaumu Mwalimu kwa...
  16. F

    Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Umeingiza udini mahali ambapo sipo. Haukuweka mfano kwa sababu unasema tuu kama kasuku bila kuelewa ulisemalo. Watu kama wewe ndio mnataka kutupeleka kusipo. Amandla...
  17. F

    Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Kwa taarifa yako Kasella-Bantu alibatizwa kwa jina la Joseph. Udini uliomfanya Mwalimu amtie kizuizini na amsikilize Rashidi Mfaume ni upi? Amandla...
  18. F

    Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Nashukuru kwa kunifahamisha kuwa Lissu, Heche, Sharifa Suleiman, Ruge, Mwalimu, Mnyika wote ni wachaga. Na wakristu. Amandla...
Back
Top Bottom