Search results

  1. Mwasandembwa

    Nafikiria kutembea na house girl

    Mkuu Ushauri Wa Bure Huyo Hg Mrudishe Kwao, Ilinitokeaga Mwaka Jana, Wife Aliona Dalili Za Hg Kumpiku, Mara Yakaanza Mashindano, Japo Mie Sikuwa Na Lengo Lolote Na Huyo Binti, Baada Ya Kuona Shida Zazidi Nikaamua Kumrudisha Kwao Ili Kuepusha Shali, Hapo Aman Ikarejea Nyumban, Japo Yule Hg...
  2. Mwasandembwa

    Nafikiria kutembea na house girl

    We Kama Umeamua Kula, Ww Kula Tu, Ukikamatwa Na My Wife Wako Usijekutulilia Humu.
  3. Mwasandembwa

    Nimeshangaa hii Mahari, sikuitegemea

    Nadhani mwolewaji nae yupo cheap
  4. Mwasandembwa

    Nimkwepe vipi huyu mama mwenye nyumba jamani?

    Dini ya kweli ni kusaidia wajane. Keep on!!!
  5. Mwasandembwa

    Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

    Kumbe eheeee! Hamna shida we pita 2.
  6. Mwasandembwa

    Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

    Kumbuka! Sukari 3000 Kutoka 2000 na huu ni mwezi wa sita tu tangu tuishike ikulu.
  7. Mwasandembwa

    Umeme wa sola

    Hebu sema battery N100 hebu jaribu kurekebisha hapo ieleweke.
  8. Mwasandembwa

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Nzega idara ya sekondari mie nije moro town.
  9. Mwasandembwa

    Kusuka kwa Wamasai Basi ....

    Uliponanapona kujimaliza
  10. Mwasandembwa

    Nimegundua mwenzangu anachepuka, miezi michache kabla kufunga ndoa

    Achana na huo upuuzi wa sijui kubariki ndoa! Hauna chochote zaidi ya kupoteza pesa ati na kutafuta ufahali, we mwambie aachane na tabia hiyo, asipoelewa piga chini weka mwingine.
  11. Mwasandembwa

    Serikali: Utaratibu wa uhakiki wa orodha ya malipo haucheleweshi mshahara

    Huenda kuna ukweli hapa!!! Ngoja tusubiri.
  12. Mwasandembwa

    Watoto Wanne wa Mwenyekiti wa Chama Jakaya Kikwete

    Da! Kutesa kwa zamu.
  13. Mwasandembwa

    Jua kazi inayokufaa kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa

    Tarehe 5 ni sawa kabisa kwangu.
  14. Mwasandembwa

    Eti kazi ya upelelezi ni elimu ya darasani au na uchawi upo?

    Hapo ni elimu,elimu.elimu, mambo mengine ni nyongeza.
Back
Top Bottom