Search results

  1. G

    sheria inasemaje kuhusu wafanyakazi wa ardhi wanaojipimia ardhi kinyume cha sheria?

    Nenda katoe maoni kwenye Katiba Mpya. We unadhani wao wawe wapangaji tu hadi lini? Mimi sio mfanyakazi wa ardhi lakini ebu angalia twiga anauzwa mzimamzima (sijui aliingiaje kwenye ndege), madini yanasafirishwa ndani ya mchanga, fedha zinaibwa na zimefichwa nje halafu wanasema 'mwenyewe'...
  2. G

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    Sasa nimeamini Viongozi wetu hawajui maisha yetu sisi wananchi. Dr. Mwakyembe anasema watu wasikojoe njiani wakati wa safari kwamba wanadhalilishwa. Hivi ashawahi kubanwa na mkojo akiwa kwenye haya mabasi yetu (hayana vyoo) halafu eti asubiri hadi basi likasimame mahali kwenye choo (sijui...
  3. G

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Mwaka wa mwisho chuo kikuu hujui kuandaa cv??? unataka na hiyo ufundishwe na Profesa fulani??? Jishughulishe!!!!!!!
  4. G

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Ni Dr. wa nini sasa? Umesema unamfahamu
  5. G

    Mei Mosi 2012: JK akasirishwa na utafunaji wa pesa za umma, wahusika kukiona...

    Hata Kamati Kuu ya CCM imeshatoa 'go - ahead'. So afanye fasta. Ila sasa watakaowekwa kwenye hizo nafasi wasije wakawa ni manyang'au kuliko waliokuwepo!!!
  6. G

    Bila milioni mbili 'simvuli'i mwanaume chupi na sijaona mwanaume wa 'kutemebea' na mimi mji huu!

    Hiyo ndio dawa yake. Ameshajifunza, sasa adhabu imetosha.
Back
Top Bottom