Search results

  1. T

    Unahitaji Greenhouse ya Chuma (Steel)

    Kilimo Kwanza: Kuna utafiti umefanywa na Wizara ya Kilimo na mashirika mengine kuhusiana na matumizi ya greenhouse Dar. Majibu ni kwamba hazifai, labda ziwe special sana. Unaweza kuvuna kidogo ukilima wakati wa baridi kama huu, lakini nyakati nyingine zote za mwaka hazifai kabisa. Kama wewe ni...
  2. T

    Unahitaji Greenhouse ya Chuma (Steel)

    Kilimo Kwanza asante kwa taarifa muhimu. Ni kweli kilimo cha greenhouse kinalipa sana, kwa sababu tija ni kubwa mno! Lakini ni vizuri pia watu waelewe kwamba greenhouse haziwezi kufanya kazi Dar na maeneo mengine ya Pwani kutokana na joto kali na humidity. Greenhouse inakubali kwenye maeneo ya...
  3. T

    Wewe ni mgonjwa wa Series? Pakua hapa buree bila kutumia Torrents Clients

    Asante sana Deejay. Very useful! Nimedownload video na iko poa sana.
  4. T

    Clouds yaipotezea UKAWA

    Hivi Barbara kaolewa? Anaitaji ku-su----wa:A S wink:
  5. T

    Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

    Siku nyingine ukiwa unaongea na askari rekodi kwenye sim. Bonge la ushahidi! Au ukiweza rekodi video. Ila kumbuka alichofanyiwa Jerry Muro. Wana mtandao hao.
  6. T

    Wingi wa vilabu vya pombe na klabu za usiku zinavyodhalilisha maisha ya famila

    Kumbukeni sekta ya bia ni miongoni mwa wachangiaji wakuu kwenye makusanyo ya Serikali. La muhimu ni kujiheshimu na kuweka mbele utu na familia. Pia wanaoenda night clubs wengi ni vijana wasio na familia. Katika sehem nyingi, ukienda mtu mzima unajiona "out of place". Hivyo sioni kuwa night clubs...
  7. T

    Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Usalama wa Taifa wanajua wanyarwanda wako wapi.
  8. T

    Hongera Aziz Aboud, Mbunge jimbo la Morogoro mjini

    Watu wa Morogoro (waluguru) ni shida sana. Wanauza jimbo kwa kanga, t-shirts, misaada ya misiba na kupewa pesa za futari. Hood na Abood ni maarufu kwa sababu ya kutoa mabasi kwenye misiba (sina hakika kama Hood bado anaendelea). Hawaangalii mbali, ni kile wanachopewa mkononi. Meya aliyepita...
  9. T

    Steve 'Nyerere' Aingia rasmi kwenye siasa... Awa kamanda wa vijana wa CCM-Bwawani

    Njaa hizi.... Nilitegemea kama actor angetumia ubongo kufikiria ni jinsi gani ya kukuza biashara ya muvi badala ya kukimbilia na kupoteza muda kwenye siasa. CCM "kutoka" ni ngumu sana kama huna mtaji (pesa au kujuana), labda uishie udiwani. Hawa wa viti maalum walifanikiwa sababu wana "mitaji ya...
  10. T

    Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    Chanzo kikuu cha mapato ni walevi na wavuta sigara! Tuwape heshima zao jamani...
  11. T

    Mchezaji wa zamani wa Sigara na Simba Gebo Peter afariki dunia

    Nilikuwa nakaa jirani na wazazi wake Gebo kule Moro. Wakati ule nipo shule ya msingi, Gebo na Ema na Peter (Tino) walikuwa wakija once in a while nyumbani kwao; nilikuwa nahakikisha kuwa nawaona. Hao watatu walikuwa maarufu sana pale kijijini na Moro kwa ujumla. Enzi zile ilikuwa safi sana kuona...
  12. T

    Mbunge wa Arumeru Joshua Nasari kuagana ukapera Jumamosi 07-June-2014......

    Hii imeshaonwa jamani? Nimeitoa fb page ya Nassari. Hongera sana dogo!
  13. T

    Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

    Pole sana Rweye
  14. T

    Niliyoyaona ubalozi wa Tz UAE yamenishangaza

    Kuna kanuni na sheria zinazoongoza ajira katika balozi na ofisi za kimataifa hapa duniani. Nenda balozi zote duniani, ni vigumu kukuta receptionist ambaye ni raia wa nchi husika. Nenda UN & embassy offices zilizopo apa Tz, si rahisi kuona receptionist ambaye ni foreigner. Ila zile posts za...
  15. T

    John Komba: Unaweza kuwa Jaji lakini ukawa Jaji wa ovyo!

    Kapteni wa "vidole juu" na mipasho.
  16. T

    Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

    Hivi hawa wanasiasa wamelaaniwa jamani? Waziri mzima anatoa mipasho. Phd holder -- no way, labda phd ya trash. Wana shida gani hawa? Hawajifunzi kwa nchi nyingine? Na pia hawajali kuwa watoto zao wanawatazama na kuwasikia wakati wanaongea haya mapumba?? Wananchi tuna needs nyingi sana ambazo...
  17. T

    Masikini UKAWA

    Wanasiasa mnawafanya Watanzania wapumbavu. Sioni tofauti yenu na mashangingi ya Buguruni, Mwananyamala na Magomeni. Kupeana mipasho kutwa kucha. Anzisheni bendi ya taarabu basi. Na wewe Nape, tutakuvalisha kanga kiunoni tujue moja kuwa ni miongoni mwa hao "mashangingi", maana nakuona umebobea...
  18. T

    Ikulu ya Tanzania haitambui Hamza Njozi ni Profesa au Kibri tuu?

    Hizo status za dr au prof au mhe. ni sisi Tz na nchi nyingine za afrika ndo tunapenda sana kuzitumia. Zinajenga madaraja yasiyo na maana kwenye kazi. Sehem nyingine watu huitana tu kwa majina. Labda kwenye very special events. Mfano, ni mara chache sana kusikia international media wanatumia izo...
  19. T

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Kama muhudumu aliuliza hivyo basi m--------, na Precision wanapaswa kumchukulia hatua. Nimekaa hiyo siti mara kadhaa, sijawai kuulizwa hivyo. Hawa watu wanajisahau kuwa wanalipwa mishahara kwa nauli zetu.
Back
Top Bottom