Search results

  1. M

    Unajiskiaje labda we mwanamke ukifanya hivi?

    Kaka siyo kila kichaka unachokiona kinafaa kujisaidia kuna vyoo mahali panapostahili. Angalia kupenda kila mdada utakufa kabla ya muda wako!!!!!. Mgeukie Mungu akuondolee pepo hilo la uzinzi (jini mahaba).
  2. M

    Muhimu kwa NECTA,MZUMBE UNIVERSITY,SIDO,TCU,CBE na OPEN UNIVERSITY

    Nakubaliana naTiba. Wewe kana unauchungu na anachokifanya huyo Amina feki ulisubiri aanze masters ndipo utangaze.toka meaza CBE Ni miaka mingapi. Naomba uwe muwazi acha kuchafua watu after row hata naibu Waziri wetu wa Elimu na ufundi anatumia cheti cha mtu. Ukitaka nikuone wa maana mshitaki...
  3. M

    Maajabu: CHADEMA Ndio Kama Chama Tawala na CCM Ndio Wapinzani Sasa

    Akili yako ni kama mfano wa picha yako uliyoiweka kwenye Jf unajua kwa mtu mwenye akili zenye mtizamo chanya hawezi kuiweka picha kama hiyo otherwise hizo ni bangi
  4. M

    kama ni kweli Situmii tena Condom !

    Veve Lukolo wulekage uwafu uwo
  5. M

    Aniponza nikafukuzwa kazi, leo anahitaji nimsaidie

    Guy elewa usemi wa kidhungu usemao"whatever goes around comes around"hiyo ni laana ya wewe kumpendekeza mtu asiyefaa apate kazi kwa kuwa unamfahamu ukawaacha waliokuwa wamepangiwa na Mungu kupata hiyo kazi. Dawa ni kutubu mbele za Mungu ukimaanisha utapata kazi lakini usipotubu hakika dhambi...
  6. M

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Mwigulu kasomea nini kwasababu inaonekana hata mission statement ya nchi yake haijui. Realy tukiongozwa na viongozi wababaishaji kama hawa tutafika kweli. Huyu bwana kwake mpira ni bora kuliko katiba hiyo ndiyo akili yake. Hao wana Iramba wanaopongezwa inabidi wajisikitikie kwani hawa Ccm...
  7. M

    Dr. Slaa atafutiwe mshauri, hii ni kwa kuilinda hadhi yake!

    Hata kama ni mimi singekubali kulindwa na mtu/askari ambaye badala ya kulinda amani anavuruga amani. Pale Arusha story inafahamika nani alivuruga amani kama ni police kwanini CDM wawaombe tena wawalinde. The issue here isResponsiveness of the people we have given authority to keep our peace they...
  8. M

    Ladies, Unaweza Kumpigia goti Mume Wako openly?

    Ndiyo mimi napigiwa. Lakini labda kwasababu kwetu manamke kupiga mogoti kwa mumewe ni ka-utamaduni ketu. Ila nimeona kuna makabila mengine wanawake hawana desturi ya kuwapigia magoti waume zao labda kama na wewe ni mmoja wao sawa!.
  9. M

    MASTERBATION(PUNYETO)....naomb en ushaur...

    In any action there is equal and an equal reaction. Tafakari acha hiyo ni dhambi hata mbele za Mungu.
  10. M

    Ladies, Unaweza Kumpigia goti Mume Wako openly?

    Blue G umenena kupiga goti kwa mumeo kama kweli unampenda kuna gharama gani. Hapo utakuwa una add value ya upendo kwa mumeo lakini ukijifanya kiburi utashangaa mtaani kuna watakao mpigia magoti na kama ni kitu kikionekana kigeni kwa mumeo utaachwa kiutaniutani hivi hivi.
  11. M

    Sakata la Madawa JKNIA: Mwakyembe acharuka!

    Kwa upande wangu nashangaa wahusika wa JKNIA wanaosimamia ukaguzi kwanini wasianze wao kuchukuliwa hatua kwa kuwafukuza kazi ndipo mambo mengine yafuate. Kwani ukiwaacha wataendelea kupanga succession ya walarushwa ili hata wakibadirishwa wataleta jamii hiyohiyo. Mimi ni mdau wa kusafiri safari...
  12. M

    Dr. Slaa atafutiwe mshauri, hii ni kwa kuilinda hadhi yake!

    Wewe ndugu (HAMY-D) kwanza nikupe pole kwasababu unaonekana unajua kufuatilia mambo nusunusu na kuhitimisha. Kama umeona unzuri wa Tendwa ukaona ubaya wa Dr. Slaa hakika umereverse. Jitahidi kuangalia kwa macho ya kizalendo na si kutumia macho ya Uccm. Halafu kesho post wazo jipya. Tendwa...
  13. M

    CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

    Sijui wewe ni kaka au dada, lakini ninachotaka kusema ni kwamba CHADEMA wanachofanya kwa mtu anayeelewa ni jambo la kukijenga chama na wala si kukera watu kama wewe unayeonekana una CCM syndrome ndani yako. ujue bado kuna maeneo hawajui ni chama kipi kinaweza kuwakomboa kwahiyo CHADEMA wakifanya...
  14. M

    Habari Mbaya kwa Watu Wote kama ilivyoandikwa na 'Raia Fulani'

    Hongera Ndugu kwa makala iliyotulia yenye mvuto na hisia kali inayoumiza wapenda haki.Inatupasa mkuu wa baraza ajue kuwa hata maandiko ya mMwenyeezi yanasema "Kiungo kimoja kikikukosesha, Heri ukitoe ili ukifa ufe ikiwa na viungo vichache kuliko uwe na viongo vyote ukaingia motoni" Sasa Rais...
  15. M

    Nionavyo Mimi

    Ndugu Wadau. Kila ninapowaza sipati jibu juu ya Nani ajiuzulu katika sakata hili la Rushwa, Ufisadi na Ufujaji wa mali za watanzania.Nadhani wa kwanza kuachia kazi ni JK mwenyewe ambaye hawezi kuiongoza nchi na ambaye amekuwa source ya kuteua mawaziri Vihiyo na Wezi kama hao , kisha Pinda...
Back
Top Bottom