Search results

  1. Erotica

    Khaaaaa! Hii nguo iko sooooo SEXY!

    Jamani nimekaa nafua nguo ninayo mfutiaga shemeji yenu ile nakamua nikaanike ikashika shape (na size) yake! mmmh Makubwa! Nimeacha kufua hapa I am thinking about him, sijui nimpigie aje tu???
  2. Erotica

    To all Women SEXY or not!

    Siku ya wanawake duniani haitabadilisha lolote tusipobadilisha attitude zetu dhidi yetu wenyewe wanawake. Ni hayo tu. Mwaaaaaaaah kwa wanawake wote! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
  3. Erotica

    Baby come I take you to Ecstasy...

    Darling Kaunga, these words are for you to carry to they are meant for. Baby you gat me doing things I thought I would never do, It must be because of the way you make me feel........ How you do it, baby I never understand how you are not within my skin, You make me feel like its just me and...
  4. Erotica

    LOVE and SEX!! Mmmmh...

    Asie fundwa ktka unyago hufundwa na wapenzi! Siku zote Ero mm nilijua kuwa SEX lazima iwe ya vurugu, yaani mavitu ya kufungana vitandani, mara kupigana pingu, mara kuwekana blind fold, mara kubakana, na vurugu kibao! Mnaweza jiuliza mie nabakaje? Tip; siku ingine tukilala mpenzi wangu...
  5. Erotica

    'V' yaniletea balaa kwenye SEX!

    Hey wapenzi niliwamissije? hebu plz nisaidieni mawazo wajameni! Ero na kihere here changu cha kumiss sex na staili zote matata kumenifanya niwe na husuda ya kufanya sex non-stop. Nikaweka mazingira yote yanayo chochea uwepo wa non stoppable sex, hali ya hewa safii, mazingira ya mwili na...
  6. Erotica

    Imebaki SEXY Legs tu! mweeeeee....

    Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi kunyanyuka wala kuketi...
  7. Erotica

    Beware when having SEX!

    Wadogo huwa ni watundu wanasikia kila kitu in those thin wall of yours, hapa bahati hawajaona wamesikia. wanajua sex syle ya kokroach death na kuwa mwanaume anakuwa juu, ila hawajui juu wapi. teh teh teh. hapa bora tu muwape hili darasa mapemaaaaa...
  8. Erotica

    How to explain SEX to teenagers

    Katika dunia ya leo ni muhimu sana kuwafundisha wadogo zetu na watoto wenu elimu kuhusu sex na madhara yake. Unapata taabu ya kumuelekeza mdogo au mwanao? chukua darasa na tumia hizi picha kumuelewesha ili atambue sex ni nini na ajue namna ya kukwepa...
  9. Erotica

    Picha ya SEX imeniletea balaaaaa!

    Wana Jamvi, hili swala hata Kaunga kashindwa kulisolve, tumejaribu kuita kila mwenye mabusara yake atowe mawazo ila sijaridhika bado, yamenikuta. Sijui kama my love Kaunga kawadokeza hili ila ukweli ni kuwa tumepata a potential baba watoto. Nikisema pontential ni potential kwel kwel, ni full...
  10. Erotica

    SEX got me in Trouble.. Please HELP!

    Siku zimekuwa zikienda najihisi tofauti tofauti, naona mwili wangu kama haupo kawaida. Nikishika tits zangu I feel tender, najiona nimebadilika badilika tu but nashindwa kuelezea. Saizi nakula zaidi kuliko kawaida yangu na najikuta nataka utulivu wa mara kwa mara. Ndio nimetambua saizi nina...
  11. Erotica

    Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

    Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua jinsi gani upo hot and SEXY, ukitaka kujua kama umependeza au umechekesha siku hiyo pita mitaa ya uswahilini...
  12. Erotica

    Najishangaaaaaaaa! Was it all about SEX?

    Toka nilipoacha SEX, Najikuta tabia yangu inaenda inabadilika, hasa kimuonekano na tabia. Wakati sijajiwekea STOP kwenyes sex nilikuwa so charming, so loving and so sexy hadi mwenyewe nilikuwa najionea huruma vile nilikuwa so sexy. Saizi automatikale najikuta nimebadilisha wardrobe yangu...
  13. Erotica

    KATIBA: OPEN MARRIAGE. It’s Motto – SEX is not an issue, It is a Pleasure!

    kutokana na kifungu flani (maloya wengine ni wakupe tukiwapa wataenda kukibadilisha itatolewa tu kwa ruhusa ya loya wangu). Open marriage inaruhusiwa kabisa kwa wanandoa kwa kuzingatia vigezo na masharti. Vipengele mama vya Open marriage. - Wewe na Spouse hauruhusiwi kuwa na wivu katu. Kama mna...
  14. Erotica

    SEX in marriage. Kipi ni kipi?

    Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi. Kuwatonya labda niseme shemeji yenu huyo naona atatoka hapa hapa jf. Raha iliojee? niko kwenye...
  15. Erotica

    Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

    Jana nimefikisha alama yangu ya 29. Nilitia nia ya dhati wakati nimefika miaka 20 kuwa nikifikisha wapenzi 29 itakuwa mwihso wa kujihusisha na SEX. Mume wangu atakuwa ni wa 30. Nimepita mengi kwenye mambo ya SEX, nimeona mengi na kila style na saizi. Sasa inatosha! Kuanzia sasa nabadilika...
  16. Erotica

    Mapenzi fake na SEX fake! Yanachosha kwel kwel...

    Ndio ninayo ishi Erotica. Ingekua sio ndoto zangu na strangers, ama kushtulia hapa na pale na wadau wa hapa na pale ningeganda. Sababu ni mrembo na mzuri, nikiwa na maisha mazuri ya hali ya juu ya watoto wa mujini basi nimezungukwa na marafiki wa mujini nao wakiwa na maisha mazuri na hali za...
  17. Erotica

    Hot Body = Hot SEX

    Wabongo kwa kupeana moyo! Oh haijalishi mwili wako ukoje mradi una kidude cha kufanyia. Oh haina shobo mradi mwili wako msafi na maneno mengi ya kupeana moyo na kufarijiana. Inakuaje sasa kua hata picha ambazo zinakua za kuhamasisha tendo la ngono ni wenye vimwili vidodo dogo? Akiwa pande ujue...
  18. Erotica

    HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

    Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo. Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam, huku nikimkumbuka mwengine kwa utalaamu wake wa kunikuna n.k. Au wakati mwingine naguswa moyoni hata mara 10 na watu...
  19. Erotica

    Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

    Nimeenda park leo baada ya kutoroka kazini na kukuta vi baby vizuri kweli. Nikavitamani na nikaona why not na mimi nizae na niitwe mama. Uwezo wa kulea ninao na niya pia ninayo. Nataka viwe vi mapacha. Baada ya kwenda home na kumuangalia boyfie nimeona ana mapungufu, anafaa kuwa baba, ila...
  20. Erotica

    SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!

    Mara Erotica ana pepo la ngono. Mara ooh mtu gani topic zote ziwe za ngono. oooh inabidi aombewe. Waangalie kule!! Siachi! SEX is my Brand name. And Erotica Erocious my name. I am wandaring, wangapi hapa hawawazi kuhusu ngono hapa na pale? Wangapi mabikira hawajawahi onja kabisa? Wangapi...
Back
Top Bottom