Search results

  1. Mohamedy cadinaly

    Ushauri asome kozi ipi kati ya hizi

    Habarini wakuu ni mdogo wangu amechaguliwa kozi hizi 1. BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING - Ardhi university 2.BD. Water Resources and Irrigation Enginee - water institute 3. BSc. Information Technology-SUA 4. Computer science Naomba muuongozo wenu ipi kozi...
  2. Mohamedy cadinaly

    Mixer ya kukandia unga wa kutengenezea mikate inahitajika

    Kama kichwa cha habari kinajieleza kwa yeyeto anafaham wapi naweza kupata hizi mashing tuwasiliane... Asanteni
  3. Mohamedy cadinaly

    Msaada jinsi ya kufanya installation ya Eurostar dish

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema naombini msaada kwa anayefaham installation ya Eurostar dish anipe muongozo. Asanteni
  4. Mohamedy cadinaly

    Yupo wapi juve2012

    Wakuu wa jamii forum, Napenda kudondosha Uzi huu rasmi was kumuhusu ndugu yetu bwana juve2012. Ni siku nyingi sana toka apotee humu JF. Kwa yeyote mwenye taarifa za ndugu yetu bwana juve2012 atufahamjshe mahala alipo maana ni kipindi kirefu sasa kimepita Mimi binafsi nimemiss nondo zake alizo...
  5. Mohamedy cadinaly

    Mwenye nyimbo za kundi la FBG kutoka arusha

    Hawa jamaa kitambo sana sijawasikia. Nyimbo yao ya mwisho kuisikia walikuwa wamemshirikisha DJ fetty siku hizi sijui wako wapi na wanafanya nini. Mwenye nyimbo zao naomba anisaidie jamaa nawakubali sana Nawasilisha
  6. Mohamedy cadinaly

    Ni vipi naweza kyanzisha kiwanda kidogo?

    Habari wakuu. Nahitaji kufahamishwa ni hatua gani zinatakuwa kufuatwa ili mtu aweze kufanikiwa kufungua kiwanda kidogo. Kwayeyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie. Nahitaji sana msaada wenu wakuu Nawasilusha
  7. Mohamedy cadinaly

    Kitu gani hutokea hadi pesa kupanda au kushuka thamani?

    Habari wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyoonyesha ningependa kwa yoyote ufahamu wa hili jambo ktk nukta zifuatazo 1. ni kwa vipi pesa ya nchi inaweza kushuka thamani ama kupanda thamani. 2. Ni vitu gani hupekea pesa kushuka thamani 3.Na pindi pale pesa inaposhuka thamani je kuna...
  8. Mohamedy cadinaly

    Jinsi jesca alivyojiunga udom

    Jesca: Mwalimu mimi nataka nisome form six kwani hii form 4 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivo? Jesca: Nina akili... Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule. Mkuu kaitisha interview na jesca. Maswali ni haya.... Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 157 tukitoa moja tukalidondosha chini...
  9. Mohamedy cadinaly

    Ipi asili ya mtu mweusi??

    Nimekuwa nikijiuliza juu ya asili ya mtu mweusi imetokea wapi hasa katika kizazi cha manabii gani ila hadi sasa sijapata jibu halisi. Kwa yeyete mwenye elimu kuhusu hili tusaidiane wakuu
Back
Top Bottom