Search results

  1. Mohamedy cadinaly

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    ww hujiulizi kwann kwa tanzania hii... hakuna muha yoyote ambaye amefanikwa mjini anataka kurudi kujenga kwao kigoma ... ??? nimekaa kigoma karibia yote kasulu, kibondo , kakonko, kgm mjini kote tabia ni zile nimeishi zaid ya miaka nane watu hawataki maendeleo huko... Huko mtu unaendae kupiga...
  2. Mohamedy cadinaly

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Ila hapa lazima akomae fuvu unit 40 za open co poa kabisa
  3. Mohamedy cadinaly

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Nyie watu mnaongea tu hamuijui kigoma vzuri... mm namuelewa jamaa kwasbb nimeishi kigoma huku hata uwe na million 100 kama sio mwenyeji wa kigoma inaweza kuisha bila ww kujua...!!! Ww mkoa wachanga wameushindwa unafikiri kuna biashara hapo
  4. Mohamedy cadinaly

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Hv hizi kozi za NOSHC bado michongo ipo au watu washakuwa wengi?
  5. Mohamedy cadinaly

    Uzi wa wala daku 2024

    Njoo tunywe bia
  6. Mohamedy cadinaly

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Ukiona mtu anamchukia JPM jua huyo ni mjinga mjinga
  7. Mohamedy cadinaly

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Nasisitiza....Magufuli amegoma kufa
  8. Mohamedy cadinaly

    Natafuta nafasi ya Internship NEMC Kanda ya Kati

    Kwahiyo mipango yako utajitafuta sana mkuu
  9. Mohamedy cadinaly

    Alianza kusoma BSc In Mechanical Engineering aka-drop out baada ya kuumwa. Je, kuna ofisi private zinazoweza kumpa kazi?

    Ushauri wangu kama upo town jaribu kupita kwenye garage kubwa kubwa kuulizia kazi huwezi kosa
  10. Mohamedy cadinaly

    Alianza kusoma BSc In Mechanical Engineering aka-drop out baada ya kuumwa. Je, kuna ofisi private zinazoweza kumpa kazi?

    Mifumo ya kiafrika mibovu sana yani bado tunamini kwenye makaratasi kuliko uweza wa mtu
  11. Mohamedy cadinaly

    Bilioni 286 Kujenga Uwanja Mpya wa "Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium" Kwa Ajili ya AFCON 2027

    Tushachoka na hizo stori benjamin mkapa hadi leo ukarabati haujaisha
  12. Mohamedy cadinaly

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mwenye server za iptv....msaada tafadhali
  13. Mohamedy cadinaly

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu kwa uzoefu wako ipi ni kampuni bora linapokuja swala la android smart tv, samsung, hisensi, tcl nk..? na kuna tofauti gani kati ya andriod tv za kawaida na zenye google tv
  14. Mohamedy cadinaly

    Kwa matokeo haya anaweza kusoma certificate in nursing au kuchaguliwa advance?

    Kama amepita kimagushi bac n bahati yake lkn atakutana na mfumo wa TCU akienda kuchukua bachelor... na automatic utamtema akiingiza individual no. ya form 4
Back
Top Bottom