Search results

  1. Raphael9

    Msaada wa Hali na Mali Unahitajika!!

    Simu yangu n Blackberry! Imejilock! Msaada kwa anayejua How To Unlock! Inaniandikia niweke Password! Afu mie password nishazisahau!
  2. Raphael9

    Msaada Tafadhari..

    Msaaada Wana JF Budget yangu n Laki n 40! Nahitaji nunua Simu yenye Android ! Ambayo sitojutia baadae!
  3. Raphael9

    Budget: Laki na 40 Ni Simu Gani Nzuri Ya Android naweza pata?

    Msaaada Wana JF Budget yangu n Laki n 40! Nahitaji nunua Simu yenye Android !
  4. Raphael9

    MSAADA Plz!! Mobile Game

    Msaada nahitaji Ku-Download Mobile Game, Ila Nimekosa Website nzuri kwa yeyote anayejua Website nzuri Msaada!!
  5. Raphael9

    Msaada Plz!!

    ## Nataka kutuma Salio kutumia Laini ya Airtel naambiwa niweke Neno la Siri sa Mie Cjui # ya Siri Msaada Plz ##
  6. Raphael9

    PIN BLOCKED..... Laini ya Airtel -Msaada Plz

    Laini yangu ya Airtel imeji-Blocked......Nikiweka Laini inaandika PIN BLOCKED.Enter PUK
  7. Raphael9

    Msaada

    Msaada wa Mafuta ya Kiume kwaajili ya Usoni kwa Ngozi yenye Mafuta......
  8. Raphael9

    msaaadaaa plzzzz

    Msaada wa jinsi ya kutumia simu kama mordem katika laptop...... Natumia nokia Asha 200
  9. Raphael9

    Msaada wa website:

    Nahitaji website ambayo unaweza ukadownload full movie
  10. Raphael9

    Msaada wa simu tafadhari!!

    Nahijaji kununua simu yenye internet ya faster!! lakin sijajua ni aina gani ya simu iko vizuri pamoja na bei yake. help
  11. Raphael9

    Msaada wa simu " nokia "

    Nahitaji simu y nokia inayofungua net faster n iliyopo katika soko kwa sasa plz na bei yake kiujumla..nawasilisha
  12. Raphael9

    Msaada nataka ninunue simu " nokia "

    Habarin wana JF naomba untajie Simu ya NOKIA inayofunguka internet faster na ambayo ipo kwenye soko kwa sasa' ORGINAL"
  13. Raphael9

    Msaada wa kuangalia mchanganuo wa loan toka( heslb )

    Msaada nataka niangalie mchanganuo umeendaje lakin pale pakuandka surename,index no na password pamenichanganya? help me
  14. Raphael9

    Msaada kujua % toka loan

    Nimepewa 3,652,500 >>>>>school fees 18,00,000
  15. Raphael9

    Mkopo lini? Kwa anaye fahamu!!

    Sio mbaya kama 2naweza juzana ili wa2 2anze maandalizi..kwamwenye tetesi?
  16. Raphael9

    Wale wa "eckernforde 2juane hapa"

    Japo ckukiomba hiki chuo ila cna budi kusema asante " tcu " sasa 2juane wenzangu wa " TANGA "
  17. Raphael9

    TCU Vs FORM SIX LEAVERS 2012...

    Kwa anayejua 7bu za tcu kuchelewesha sellection!! na kwa anayejua zitatoka lini? japo hata tetesi!! Nawasilisha hoja..
  18. Raphael9

    Kunako tcu???

    Kwa anayejua juu ya selection za T.C.U Kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Zitakuwa zimekamilika lini?
  19. Raphael9

    Barchelor of Arts with Education(B.A.E.D)

    Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!! HIST-S GEO-E KISW-D G.S-S
  20. Raphael9

    III ya point 15: MSAADA JAMANI!!!

    HISTORY- S , GEOGRAPHY-E and KISWAHILI- D faculty na chuo gani nawezapata??
Back
Top Bottom