Search results

  1. K

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Jaman nyie madaktari wa kitanzania muwe na huruma kwa wananchi wa kipato cha chini ambao hawawezi kumudu gharama za hospitali binafsi, inauma sana kuona watanzania wenzetu wanakufa kwa kukosa huduma na ninaunga hoja ya raisi kikwete kama hawataki haki waache kabisa.
  2. K

    Wazo langu

    Watanzania wenzangu tuamke tuache kulala hasa sisi vijana tuchangamkie fursa tuache kulalamika tufanye kazi tuliokoe taifa letu.
Back
Top Bottom