Search results

  1. K

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  2. K

    Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

    Sasa shida ni nini mambo hayaendi?
  3. K

    Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

    Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi. Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
  4. K

    Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Hii ni hatari sana mkuu
  5. K

    Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mimi siyo JESSE 🤣
  6. K

    Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Tumeandika nini mimi na Ngurumo mkuu?
  7. K

    Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali...
  8. K

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Ndiyo kwa kuwa njia zote za kawaida imeshindikana. Wasajili nao wanaogopa kumshinikiza jaji. Dawa ni kuja public
  9. K

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Kipi hujaelewa? Amekuwa addressed jaji maghimbi wewe unataka uelewe ili iweje?
  10. K

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Nilikuwa mleta maombi kwenye shauri misc civil cause no 334/2021 dhidi ya Godbless Lema na mkewe, ambapo tar 21/06/2023 ulitoa uamuzi. Tar 22/06/2023 niliandika barua kuomba kupatiwa nakala ya hukumu, drawn order na proceedings. Baada ya kuja sana ofisini kwako, wiki jana nilipatiwa nakala ya...
  11. K

    Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Nimeisikiliza zaidi ya mara 20, na hapa niko bar nimeiunga kwenye system zao kwa blootooth
  12. K

    TAKUKURU mchunguzeni Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe

    Achunguzwe kwa kupokea rushwa
  13. K

    TAKUKURU mchunguzeni Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe

    Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe muwekezaji wa Makoa Farm Mjerumani aitwaye Elizabeth ili mkataba wake na chama cha ushirika cha...
  14. K

    Rasmi: Mpango wa kumchafua Mbunge Saashisha Mafue waanza Mwezi Juni, Wapambe wa Mbowe wahusishwa

    Kwanza tunataka TAKUKURU wanchunguze SAASISHA MAFUWe na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru kwa kutuhumiwa kuhongwa 70m kutoka kwa Alex (altezza) , ili Saashisha afanikishe dili la kuvunjwa kwa mkataba wa mwekezaji Elizabeth kwenye shamba la makoa farm na kupewa mrusi altezza...
  15. K

    Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Kaka tunaomba mrejesho. Mlifikia wapi malalamiko yenu? Je changamoto zimepungua walau kidogo?
  16. K

    G. Lema kuzungumza na waandishi wa habari kesho ofisini kwake

    aache kiherehere huyu tapeli.
Back
Top Bottom