Search results

  1. J

    Msaada, anayefahamu hili kwenye CAS

    Profile yangu ina majina ya FIDEL JOSEPH WILLIAM ambayo sio ya kwangu, nifanyeje ili niandike ya kwangu?
  2. J

    Msaada wa kunielekeza ntakavyofika makoa makuu ya chuo kikuu cha Bagamoyo

    Nilikisikia hivi karibuni kinaitwa Chuo kikuu cha Bagamoyo, makao yake makuu yako Mikocheni (Dar es Salaam). Nataka kufika ofisini kwao, niko Mwenge maeneo ya ITV, nimewauliza madereva wa Pikipiki na Bajaji hawapajui.
  3. J

    Kwa wanafunzi wa udsm, room inapatikana changanyikeni.

    Kijana wa kiume ambaye hajapata sehemu ya kuishi kuna room Changanyikeni(Bondeni), ni karibu, panafaa hata kwa shato pori. Kama unaitaji ni pm.
  4. J

    Life span of X and Y Chromosomes.

    Tafadhali naomba ufafanuzi, ni kwa muda gani X na Y chromosome zinakaa kwenye sehemu ya uzazi wa mwanamke baada ya kujamiiana na zikiwa na uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke likitoka?. Nawashilisha.
  5. J

    Msaada: Namna ya kutibu ugonjwa huu.

    Nina ujauzito haujamaliza hata mwezi, tatizo langu matiti yananiuma sana, je nifanyeje ili kumaliza tatizo hili bila kuathiri ujauzito?. Nimeenda Hospitalini nikaabiwa eti yataacha yeyewe, je ni kweli?
  6. J

    Mwalimu wa kemia na biologia anatafuta kazi

    Wadau, naomba mtu yoyote anayejua shule ya binafsi inayoitaji mwl wa Kemia na Biologia kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita mkoani Dar-es-salaam anijuze. Niana uzoefu wa miaka mitatu.Unaweza kunitumia ujumbe kupitia namba 0786016115.Nawasilisha.
  7. J

    Msaada,mwenge secondary-singida

    Kwa anayefahamu mahitaji ya shule tajwa naomba anisadie.
  8. J

    Je wewe ni mke mwema?

    Baadhi ya sifa za mke mwena ni hizi hapa; i. Hufumbua kinywachake kwa hekima, Na sheria ya wema katika ulimi wake. Wanawake wengi hawajuikuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi, ukaidi n.k. kwao nimambo ya kawaida. Wengi wanatawaliwa na HASIRA na WIVU, akiona mumewe anachekana...
  9. J

    Jamani naomba mnisaidie, malaria inanimaliza!

    Natumia chandarua, lakini hazipiti wiki tatu bila kuugua malaria. Nimeisha tumia dawa za malaria (marafin, quinin injection) lakini hali inaendelea.
  10. J

    Je unataka mme?. Soma hii hapa!!!

    my cv Age-29yrs Dini-RC Kabila-Mhaya Education-master''s stundent Contact-0714202810 MLENGWA CV Age-Below 29 yrs Dini-Asiwe muislam Elimu-Kuanzia diploma Others-Asiwe na mtoto. Kama utapenda nitumie ujumbe kwenye namba hiyo,nitakutafuta. I am serious!!!!!
  11. J

    Special for girls below 30 yrs

    Namtafuta binti wa kuoa, nina miaka 29,dini RC,kabila mhaya,elimu kwasasa nasoma masters. Mlengwa,elimu kuanzia diploma,asiwe na mtoto,dini siwe muislamu.Alieye tayari anaweza kuni PM au ani sms kwenye hii no 0714202810.Note mausiano ya jinsia moja kwamgu ni mwiko,i do not need men!!!!!!!!.
Back
Top Bottom