Search results

  1. L

    Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

    Hao ndio wabaya haswa. Unakuta ana picha za nusu uchi toka kwa vibinti mpaka inatisha.Akiulizwa "oh haimaanishi chochote, kwanza walituma wenyewe mie sijaomba." Alafu watu wanashangaa inakuwaje mtu atake kumuacha mke kisa kanenepa kipindi cha uzazi.
  2. L

    Upendo wa MAMA kwa WANAE

    Sio kwa kila mtu, ni kwa waliobahatika tu! Labda kama unaona na yule aliyezikwa hai juzi ametendewa ambavyo mama anatakiwa kumtendea mwanae.
  3. L

    Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

    Mwambie kwamba wewe hupendi na umtake aache hiyo tabia kwasababu ni tishio kwa mahusiano yenu. Ila sasa umpe na chakufanya (MWAMBIE A'FLIRT NA WEWE INSTEAD).Jitahidi umpe sehemu ya muda wako pale unapoweza, sio kutwa kucha uko busy alafu bado utake asitafute namna za yeye kuendelea kuona bado...
  4. L

    Malezi ya DADA WA KAZI.

    Nna jirani yangu mwenye mtoto wa mwaka mmoja. Ye na mume wake wote wameajiriwa kwahiyo huwa wanamuacha mtoto na dada wa kazi. Kitu cha kwanza kunotice ni kwamba siku mmoja wao akiwepo nyumbani mtoto halii lii sana.Mpaka kuna wakati hua nadhani labda wametoka kwa ukimya kumbe wapo. Ila wakiwa...
  5. L

    Chumba cha kupanga kinahitajika Sinza/Makumbusho.

    Nahitaji chumba kimoja au hata viwili(chumba na sebule) vya self kwenye mitaa husika hapo juu. Naomba hata mwenye namba za dalali tu anisaidie maana nna shida kweli.
  6. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Wenyewe wanaona sawa, kweli binadamu tumetofautiana.
  7. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Hhmmm hata sijui, yawezekana wakawa wa mbali au wa karibu. Ngoja nijikusanye kusanye nipate nguvu ya kuuliza maswali magumu.
  8. L

    Nahitaji neno la wadada wote wa JF kwenye hili... Hata wanaume semeni pia!

    Mtu na kakaake wanaweza kuuana. Aanze maisha yake upya bila mume na shemeji abaki kuwa rafiki.
  9. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Wanaitana dada na kaka, hata sijapata ujasiri wa kuuliza kama ni wa mama/baba mdogo. Ila nnachojua zaidi ni kwamba BINTI NAE KAOLEWA!!
  10. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Freema Agyeman yani nafikiria tu kwamba hawa watu ni wagonjwa (wote wawili). Ingekuwa mwanamke ambae sio ndugu hizi habari zingekuwa rahisi kidogo kumeza, maana sasa hivi hata kumwangalia mwanaume usoni naogopa. Ananitisha.
  11. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Kazi nnayo.
  12. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Mawazo yangu hayo. Najiuliza kama tukiwa na mtoto wa kike huyu sio mmoja wa wale anaeweza hata kumbaka mtoto wake wa kumzaa kweli?
  13. L

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Haya ni maongezi(kimaandishi/chat) kati ya mtu na nduguye (anavyodai mwanaume). Mwanaume ameoa hata miezi mitatu haijapita ila binti ye hajaolewa. Kama mke wa mhusika naona walakini ila naomba kujua nyie wenzangu mnaonaje. Je ni maongezi ya kawaida kwa wanandugu?! Maana mwanaume utetezi wake ni...
  14. L

    Nifanyeje?

    Naombeni ushauri maana kwakweli nashindwa kujishauri kama nisuke au ninyoe. Miezi michache iliyopita(haifiki mitano) nilikutana na kaka mmoja sehemu yake ya kazi nikiwa napata huduma pale. Kutokana na kazi yake aligundua kwamba kuna kitu ningehitahi soon toka kwenye ofisi anazofanyia yeye...
  15. L

    Hodii

    Naomba kukaribishwa na mie.
Back
Top Bottom