Search results

  1. M

    Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

    Nimepitia vipengele vyenye red katika katiba nimeona viko sahihi kabisa. LAKINI KIPENGELE CHA 9 KATIKA IBARA HIYO YA 109 INASEMA HIVI"(9) Iwapo Rais atatosheka kwamba ijapokuwa mtu mwenye sifa mojawapo ya hizo sifa maalum hakuwa nayo sifa hiyo kwa muda usiopungua miaka mitano, lakini mtu huyo...
  2. M

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Wadau, Katika maelezo yake kwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma,Mh. John Chiligati alielekeza mlango utakaotumika na wajumbe kwenda msikitini kwa ajili ya ibada lakini sikusikia maelekezo yanayowahusu wanaohitaji huduma ya ibada za kikristo. NAOMBA NINUKUU " Kwa wale...
  3. M

    Hebu pima kiingereza chako

    Mbukwenyi Matikac
  4. M

    A priest and a girl

    Kwenye red naona kama umechanganya madawa. Hao ni watu watatu tofauti. The lady, the girl and the nun!?
  5. M

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    [/COLOR] Nikilinganisha nchi za ukanda wetu hatutaona tofauti kubwa katika kuvalue professionals. Nimefanya hivi makusudi kuonesha kuwa kwa wenzetu professionals wanakuwa na value..usilinganishe kwa magnitude ya mshahara
  6. M

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    Webondo Sikutaka kulinganisha magnitude ya mshahara!!! nilitaka kuonesha how serious wenzetu wako katika kurank malipo kwenye public sector
  7. M

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    Yawezekana sikujieleza vizuri. Nilipolinganisha sikuwa na maana ya kujumuisha private sector , nililenga public. Nimependa ulivyofafanua - hicho ndicho nilichotaka kusema kuwa mfumo wetu hauangalii kada nyeti katika malipo. [/COLOR]
  8. M

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    WADAU WAKATI KILA MTU ANAONGEA KIVYAKE KUHUSU MADAI YA MADAKTARI HEBU TUANGALIE JINSI KAZI ZINAZOLIPA MNO HUKO MAREKANI KUWA NI ZA MADAKTARI WENGINE WANAFUATA. NAFIKIRI HUKU KWETU - TZ MAMBO NI KINYUME. WATU WANAWEZA CHANGIA KWA KULINGANISHA NA UCHUMI NA FINANCIAL RESOURCE LAKINI POINT HAPA NI...
  9. M

    CCM hili la Jangwani ni kosa la kiufundi

    Ccm wamekwisha, ule mkutano uliandaliwa na ccm mkoa wa dsm. Sasa akina mwakyembe na mawaziri wengine walikuwa pale kama viongozi wa mkoa au?
  10. M

    Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

    Mtoa mada, hata ukienda Mvumi- hospitali ya Misheni ambayo imespecialize kwenye matibabu ya macho bado utakuta takwimu zinakuonyesha kuwa si wagogo wengi wanaotibiwa hapo - Jiulize ni kwa nini?
  11. M

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Ukijifunika-joto, ukijifunua-mbu (dom-mnadani-jamatini) kusoma kuelewa - kukesha mbwembwe (bajaj - kimara)
  12. M

    Ungekuwa wewe ungemfanya nini mlevi huyu?

    Aliyeamshwa ndiye mlevi zaidi. Ilibidi amuulize nikakusukume nini?
  13. M

    Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

    Kama wao CCM waliamua kukampeni kwa matusi wana Arumeru wamewajibu kwa matusi makubwa ya kutowapa kura (My take - ulitukana ili upewe kura, lakini hukupewa!!! hayo ni matusi maradufu!!!)
  14. M

    Methali mpya

    Raha ya Uji-kuzungusha Bakuli
  15. M

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Jamani mmemsahau mtangazaji maarufu wa mpira wakati huo- Abdul Masoud
  16. M

    Amakweli Fedha Fedheha-tazama huyu Baba.

    Duh! Kweli Fedha Fedheha. Sasa kama huyu jamaa ana ngoma si atawamaliza nyumba nzima.
  17. M

    Sura mbili za MP. Lolensia Bukwimba

    Siasa ni pamoja na kuwafahamu wapiga kura wako. Huyu mama alijua akienda na masuti ya nguvu na mapozi ya kimjini asingepata kitu. Hongera mama. Lakini kumbuka 2010 si mbali. Sijui utaibuka na fashion gani
  18. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    HUYU NDIYE MENGI: Fikiria mtu ambaye aliwahi kufumaniwa Maeneo ya Upanga na mke wake akakimbia akaruka ukuta akapanda taxi na kutokomea gizani , Halafu wiki inayofuatia anakuja kusimama katika majukwaa akipiga vita ukimwi , unyanyasaji na maneno mengine mengi sana anataka huruma ya watu...
  19. M

    Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

    Nawapongeza sana PCB kwa kukamata virushwa vidogovidogo ambavyo ninaweza kuviita jamaa wanaganga njaa tu. Kukiri kwa mkuu wa PCB kuwa hawezi kuwachukulia hatua vigogo wanaokula rushwa ni sawa na kusema uwepo wa PCB ni sawa na kutokuwepo. Sasa kwa nini serikali iendelee kulipa watu mishahara kwa...
Back
Top Bottom