Search results

  1. M

    Maabara ni science??????

    Baada ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi kumetolewa tamko ya kwamba shahada ya Maabara haipo tena kwenye zile kozi zitakazo pewa kipaumbele kwa wanafunzi hao katika suala zima la mikopo!!!!! wadau tutafika?????????????????
  2. M

    Simanzi pia kuanguka kwa serikali iliypo madarakani

    Baada ya kichapo ipatacho toka kwa chama makini cha CDM ile serikali iliyopo pale isipo stahili kuwepo inaendelea kufuga ugonjwa kwa wale wote wahusikao na kujeruhi na kufanya mauaji ya kinyama kama hayo ya jembe la CDM, basi kwa taarifa yao hizo ndizo dalili za kuaga mashindano wananchi hawapo...
  3. M

    Tahliso na uzinduzi wa wa website tahliso

    nyie tahliso lakini mwafanya kazi yenu vizuri????? cause mkopo saizi uanaanza kuwa hadithi ya bunuasi......... ebu kuweni wamoja msikubali hili jambo likawa implemented............
  4. M

    Mkutano wa hadhara-mwanza

    CHADEMA yafanya mkutano mkubwa jijini Mwanza tar 22/04/12 uliohudhuriwa na mamia ya watu! Mh. Dr.Wilbroad Slaa akiambatana na Mh.Lema walihutubia wananchi kwa umahili na umakini mkubwa pia kwa kupokea wanachama wapya walio achia Udiwani katika kata mbalimbali ikiwemo ya Sengerema
Back
Top Bottom