Search results

  1. J

    Tuwe na siku ya kulia maalumu TANZANIA

    lia wewe sisi hatulii , tunapambana
  2. J

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    nawe unaenda za wapi, kila mbuzi hula urefu wa kamba yako , nawe jitahidi
  3. J

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    udini, ukabila ndo mkinachoendelea hapa, mbona hatujayaona haya kipindi cha mkatoliki , mmachinga benjamin william mkapa, mlifyata mikia , sasa kaingia mwislam tena mwisla poa kelele nyingi , fanyeni subira kidogo mkatoliki mwingine aja
  4. J

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    naam bora kuongozwa na lowasa au mkapa kuliko huyu jamaa, nimekusoma
  5. J

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    akinyonga mafisadi sawa . ungependa aaze na mheshimiwa mkapa?
  6. J

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    umesema kweli unapooongelea mabaya ya mtu usikwepe kuongea na mazuri yake. ye si malaika ni binadamu ana madhaifu kama wanadamu wengine. tungetaka kuhukumu jinsi baadhi ya wafurukutwa wanavyyotaka rais awamu ya tatu asingetoboza kwani kauza nchi. ila kwa nini KIKWETE?
  7. J

    tuache utani ana sura mbaya akiwa anasema uongo bungeni tena kwa hasira

    Tunachoongelea na kuangalia ni utendaji wa kazi sio sura , weye wamtaka sura ili nini? NA pia pale sio mahala pa maonyesho vinginevyo labda weye una madhaifu mengine ambayo sisi hayatuhusu na si mahala pake hapa
Back
Top Bottom