Search results

  1. Wild fauna

    Msaada: uvimbe kwenye mrija wa uume

    Salamu wakuu. Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
  2. Wild fauna

    Ushauri Mradi wa ufugaji wa nguruwe

    Salaaam wana Jf Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida . Nb: eneo ninalo la kutosha
  3. Wild fauna

    Naomba ushauri mtoto wangu wa miaka 10 analia lia sana

    Mtoto wa pili kwangu baba na wa pili pia kwa mama yake
  4. Wild fauna

    Naomba ushauri mtoto wangu wa miaka 10 analia lia sana

    Wana bodi salaam, Naombeni ushaur wenu hapa. Mtoto wang mdogo mwenye umri wa miezi 10 amekuwa na tabia ya kulia sana sana,asipo muona mama yake tuu ni kilio. Nilidhani pengine ana umwa nikampeleka hospitali kumpima malaria lakini imeonekana hana. Tabia hii ya kulia lia imeamza siku za karibuni...
  5. Wild fauna

    Msaada kwenye Smart Kitochi 4G, NCK CODE ni zipi?

    Nimekutumia namba yangu chief
  6. Wild fauna

    Msaada kwenye Smart Kitochi 4G, NCK CODE ni zipi?

    Ila concern yangu umeielewa mkuu?
  7. Wild fauna

    Msaada kwenye Smart Kitochi 4G, NCK CODE ni zipi?

    Nimefanya hivyo mkuu, ila mnara wa kuonyesha laini zipo hewani sioni.inaniambia niingize hizo code kwanza
  8. Wild fauna

    Msaada kwenye Smart Kitochi 4G, NCK CODE ni zipi?

    Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
  9. Wild fauna

    Nichagulie godoro bora la kutumia

    salaaaam ninataka kununua godoro kwa ajili ya kitanda cha sita kwa sita. tafadhali naomba ushauri wenu ni godoro la kampuni gani ni bora? kwa sasa natumia Tanfoam ila naona kama silielewi elewi hivi kwa maana kwamba ukikalia linakuwa kama chapati then linarud kwenye hali yake baada ya muda...
  10. Wild fauna

    Mtoto wangu mchanga tumbo linajaa gesi,anasumbua usiku hatulali

    naomba ushauri wana jf, katika familia yangu tumejaaliwa kupata mtoto wiki tatu zilizopita. ila mtoto tumbo linajaa gesi na mtoto anasumbua sana usiku wote. naomba ushauri wenu
  11. Wild fauna

    Chagua jina la kumpatia mtoto

    janet nimelielewa zaidi mkuu thanx
  12. Wild fauna

    Chagua jina la kumpatia mtoto

    tafadhali wadau, nimejaaliwa kupata mtoto wa kike juz tarehe 09.09.2019 naomba mnisaidie kunichagulia jina zuri lenye kuanza na herufi J.
  13. Wild fauna

    Simu imetowesha amani katika familia yangu. Naitegemea 90% katika kazi zangu za kila siku

    mtoto wa baba pole sana. isikie tuu ndoa, sikulaumu sana kwa comment yako hapo.ukikua utatambua kwa nini tunachepuka
  14. Wild fauna

    Simu imetowesha amani katika familia yangu. Naitegemea 90% katika kazi zangu za kila siku

    we dogo janja! nenda prepo kasome haya mambo yawakubwa huyawezi.
Back
Top Bottom