Search results

  1. A

    msaada:wapi naweza upgrade my blackberry os.

    Habarizenu wanajamii,,, mm naomba mnifahamishe hiyo RIM ni nini? Mana mm ninayo Blackberry 8520 haiwaki inaonesha screen nyeupo na kuload file hadi inaisha chaji, ningeomba msaada, blackberry desktop manager ninayo, nikiikonect haioneshi kama imekua konected, nisaidieni,,
  2. A

    PC failed to turn on

    Same prblm na mimi, ila yakwangu haizungushi feni ya processor inawaka taa ya motherbord tu, nifanye nini? Msaada wakuu,,,
  3. A

    Hello waungwana,

    Nilikua naonba msaada nifanye ufundi gani simu yangu iwake? aina Blackberry curve 8520 nilikua naingiziwa app na kwa kutumia comp na cm km yangu kwa kuhamishia ma file, mara nikadisconnect bila kumaliza, hadi leo haijawaka ina lode files bila kuwaka yote, nifanye nn?
Back
Top Bottom