Search results

  1. mzalendokweli

    Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Tumbili njaa imemkong'ota kanyooka sasa anajipendekeza arudi bungeni
  2. mzalendokweli

    Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

    Yaani nimecheka kweli. Ili video za MCC zipate view nyingi inabidi uweke caption itayovutia watu kama vile Magufuli Azomewa...hahahaha dah
  3. mzalendokweli

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Wanafunzi wanarudi shule. Nimeona matatu ya hayo mabasi aina ya torino mjini arusha yamejaa wanafunzi japo sikujua ni wa shule gani.
  4. mzalendokweli

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Watu wakikosa influence kwa jamii hujitwika title yoyote ile mradi wapate nafasi ya kulamba miguu ya mabwana zao. Kama nyie ndio mngekua wasomi wa Tanzania kwa na hoja hizo?? nchi ingekua na hali mbaya mara mia ya hapa.
  5. mzalendokweli

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    washaanza malinjilinji
  6. mzalendokweli

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Simwamini wala simkubali Mwigulu hata kidogo lakin Kama kweli hicho kimemo aliandika Mwigulu kwenda kwa Nassari..Nassari kaka umechemka kukiweka hadharan iwe kwa kukusudia au kwa uzembe wako hakikupaswa kuja hadharani. Wewe ni kiongozi kuna mawasiliano na viongozi wenzako hayapaswi kuja...
  7. mzalendokweli

    Hongera naibu spika, hakika umebadilika

    Mahakama imetia aibu kwakweli. Wanaungana na serikali kuiba? majaji wanapokea mgawo tutarajie nini zaidi ya mambo ya ajabu ajabu kama haya
  8. mzalendokweli

    Yanayojiri: Kwa SMS Hivi Sasa

    swali zuri sana.. je ahadi zimekuletea maisha bora? wewe ulieyapata kwa kua punda,mwizi au namna ingine hatukuzungumzii. hapa ajobu mtanzania halisi.
  9. mzalendokweli

    Kikwete azidiwa umaarufu na rais Uhuru Kenyatta na Museveni!

    Huu utafiti ungefanyika 2006/2007 Kikwete angeweza kushika moja ya nafasi za juu kabisa. Hivyo bado sijampa credits Kenyata coz hawa wanaofanya kazi kisanii sanii, kama kugawa laptop kwa wanafunzi ambao hata milo mitatu ni shida, intime uchapaji kazi wao wa kweli utakua revealed...kama Jakaya
  10. mzalendokweli

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    hapo msitarajie kipya. mipango imeanzia kwe paper so wote hao watakua wamefaulu.
  11. mzalendokweli

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Kimsingi Diallo anathibitisha kauli ya JJenerali kua juna watu wanakubakiana na mkuu na mambo yake ili wapate mradi lakin mioyoni mwao mambo hayo yanawaudhi. Jamaa anakubali kua uongozi uliopo wa chama chake haufai ndio mana umeharibu hata idara ya usalama na kuacha wahalifu sugu kushika nyazfa...
  12. mzalendokweli

    Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Magharibi abwaga manyanga, ajiunga ACT

    Bahati nzuri hata nyi wenyewe mnajuana
  13. mzalendokweli

    Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Magharibi abwaga manyanga, ajiunga ACT

    Ukweli jaman waha hua hawaaminiki kabisaa...tegemea chochote toka kwa Muha..huo ndio ukweli kama unabisha ngoja yakukute.
  14. mzalendokweli

    Hongera mhe. James Mbatia, Umeonesha njia kwa CHADEMA

    Hawa watu wameamua kuungana na kufanya upinzani kwa pamoja. Faida zake ni kama hii unayoeleza hapa.. pale ambapo CDM wanapungua vyama vingine vinajaza na hivyo hivyo kwa CUF na NCCR. sioni busara kuanza kutoa credits kwa mtu mmoja au chama chake..naamini hayo ni mawazo/budget ya UKAWA hivyo...
  15. mzalendokweli

    Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    Wamegundua hatuangalii tena TBC wameona wajaribu Star Tv kumbe nayo wanaangalia wanaolazimika tu..wenye options aah wapi.
  16. mzalendokweli

    Kapteni Komba asema Warioba si mwanachama halali wa CCM!

    Komba hana hadhi ya kupewa mjadala. Narudia tena; Mpuuzeni
  17. mzalendokweli

    Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

    Obviously wewe ni ...... wa CCM. UKAWA ishaanza kuwapa pressure
  18. mzalendokweli

    Tanzania tumekwisha! Genge la wauza madawa ya kulevya lajipanga kumweka mtu wao Ikulu...

    Mbona tayar lipo ikulu? Swala zi kuzuia lisiingie bali namna ya kulitoa
  19. mzalendokweli

    Taasisi/Jumuiza za kiislamu - Lukuvi ajiuzulu, serikali 3 hazitavunja muungano

    Wanasiasa kaeni mbali na nyumba zetu za ibada vitendo vyenu hivi ndio mnatuharibia amani na wala sio Seriali tatu.
Back
Top Bottom