Search results

  1. Ciphertext

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    "Wise men speak because they have something to say; fools because they have to say something." ― Plato
  2. Ciphertext

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Umechangia vizuri, naamini ulifikiri kabla ya kuandika. Kuna watu wanachangia kama tuko kwenye jukwaa la udaku. Asante sana.
  3. Ciphertext

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Mafunzo gani ya week tatu? Week tatu ndo unatoa pofu kiasi hiki? Huna lolote, nenda wakakutoe sukari.
  4. Ciphertext

    Sijamwamini SLAA..

    Siasa Bongo ngumu!
  5. Ciphertext

    Piga kura: Nani mwanasiasa bora kati ya ZITTO KABWE na MWIGULU NCHEMBA 2012!

    Utachagua nini kama unachokipenda hakipo? Weka option ya tatu, hapo wote wachumia tumbo tu, hawana lolote kazi kuvuruga akili za watu.
  6. Ciphertext

    Freeman Mbowe atumia siku nzima kuikoa CHADEMA pale Karatu jana 27/12/2012

    Unaona sasa? Unapost na kujitetea mwenyewe, ID nyingi mtu yuleyule kazi kwelikweli. Kubishina na wewe ni kupoteza maana unahangaikia posho.
  7. Ciphertext

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Baada ya vibarua wako kuzidiwa naona umeingia kazini mwenyewe bwana Nape...... Daah kweli siasa za bongo kazi! Hivi ndivyo mnavyotekeleza zile ahadi lukuki mlizotoa? Is this the best CCM can deliver?
  8. Ciphertext

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Napita.
  9. Ciphertext

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Hata mimi nakubaliana na wewe
  10. Ciphertext

    Chama cha demokrasia na maendeleo-cdm-na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa

    Umefikiri sahihi na ukaandika vizuri. Mungu akuzidishie ufahamu wa mambo kwa usahihi.
  11. Ciphertext

    Nassari, Lema wadai kutishiwa kifo

    Umemjibu vizuri, naamani akitumia ushauri wako hatarudia kosa alilofanya. Asante sana!
  12. Ciphertext

    Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa kimenuka tena mgomo waendelea

    Wanachuo wa Mkwawa wamefunga barabara na kushambulia gari la Polisi lililokuwa likipeleka askari wa zamu kazini. Ntarudi for more updates.
  13. Ciphertext

    Ofisi ya CCM yafungwa na kugeuzwa ya CHADEMA:CCM yapoteza Mali na wanachama

    Heeee! Heeeeee! Kibelaaaaaaaa! Nyavu zangu zimecheuaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. Ciphertext

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Asipotangaza lazima useme na Ban, maana kamekuwa kamchezo hapa JF.
  15. Ciphertext

    Hukumu Kesi ya Uchaguzi Njombe

    Mwenye update afunguke?
  16. Ciphertext

    Hukumu ya kupinga ubunge wa Mhe Opulukwa (CHADEMA) kesho 4/05/2012

    Hizi kesi za Makamba zitaimaliza CCM.
Back
Top Bottom