Search results

  1. M

    Huyu ndiye tapeli mzee kwenye mtandao wa barua pepe

    Kwani dunia INA nchi ngapi??
  2. M

    Nimekataliwa Research proposal mara tano, kuwa zimeshafanyika. Naomba nisaidiwe research tittle

    Assessment of student performance in English in relation to study materials
  3. M

    Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    Aliomba laptop ili alipie kwa mtandao. Inawezekana tatizo ni hatukujipanga kupokea pesa kimtandao. Serikali haina utaratibu huo. Sasa Hutu pesa zake ziko nje. Ilitegemewa anunue kwa akaunti zetu za madafu. Mimi nafikiri apelekwe mahakamani, kuna kitu kikubwa tutajifunza, na kitabadili mifumo...
  4. M

    Shida ya maji mjini morogoro

    Ni sehemu za makazi mapya za kuanzia 2005 ndio zina shida sana za maji. Kinachotakiwa ni Serikali kunakogawiwa viwanja na watu wanajenga waweke huduma za jamii kama maji na umeme, bora hats hospitalit ziwe mbali maana kuugua kwa mwaka sio kila siku. Maji ni kila dakika yanahitajika kwa kila kaya.
  5. M

    Shida ya maji mjini morogoro

    Taja maeneo yenye shida ya maji. Morogoro kuna maeneo maji mengi mpaka bustani wanamwagia. Kuna maeneo maji bure kabisa, na maeneo mengine maji ndoo tsh 400-500 ndani ya manispaa. Ushauri wangu ni kuwa vyama vya upinzani miaka ijayo wakitumia hili suala LA maji na umeme manispaa watakuja...
  6. M

    Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

    Not without my daughter, not without my son
  7. M

    Phantom 8 ni dhoruba kutoka tecno

    Phantom 7 mbona sijaisikia
  8. M

    Mkurugenzi MORUWASA unatesa wananchi Morogoro

    Morogoro Mtaa was Mlimani kata ya mkundi, maji watu wananunua ndoo tsh 400 had 500/= umeme hakuna Barbara hazijachongwa, nk viwanja vimepimwa nyumba ziko nyingi, wananchi wengi. Tabu ya maji utafikiri Jangwani. Diwani hakai ktk kata take ndiyo tatizo. Mbunge hajawahi tembelea mtaa huu.
  9. M

    Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Walikuwa wanaendawastani was kilometer 100 kisha wanakaa hapo kwa miaka kama Saba. Ina maana wanajenga mabanda wanaendeleza maisha.
  10. M

    Bei ya mbaazi Dar na kwingineko ikoje?

    Gairo in tsh 500 kwa 1 kg
  11. M

    CHADEMA wathibitisha fedha za Bunge zilitumwa tangu September 20, wamedai hazikuwa na maelezo

    Namtetea hizo pesa hazikuchangwa cash. Zilikatwa. Hivyo ukusanyaji wake na transfer kuchukua muda huo ni sawa. Tens wamejitahidi. Isitoshe zilikuwa zinatumwa nje ya nchi. Process ya kutuma nje ya nchi inachukua muda
  12. M

    Majaji 6, mawakili 40 wametumia wiki nzima kugundua Uchaguzi wa Kenya haukuwa wa haki, Jecha nusu saa tu kafuta Uchaguzi

    Kuna MTU kaniambia kuwa Kenya INA maLissu 500. Huku kwetu tunaye mmoja tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Tundu Lissu alonga mambo mhimu na makubwa juu ya yaliyotokea Kenya

    Mahakama nayo ikitangaza basi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Tundu Lissu alonga mambo mhimu na makubwa juu ya yaliyotokea Kenya

    Kuna Majaji wanaojitambua, na Katiba huru. Hakuna Tume huru. Tume ndio hiyo imechemsha had I uchaguzi unarudiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Rais hamteui Jaji mkuu ili asiondolewe na bunge?

    Rais akivunja bunge, Yeye anabaki kuwa Rais.. Wabunge posho zinasimama. Nchi inaweza ikawa bila wabunge, lakini haiwezi kuwa bila rais hats siku moja Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom