Search results

  1. Muttaline

    Sera mpya ya elimu na ukombozi wa fikra kwa mtanzania

    Katika moja ya matamko yaliyotelewa na Serikali kupitia Sera Mpya ya Elimu ni kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini. TAMKO: 3.2.19. Lugha ya Taifa ya Kiswahili itatumika kufundishia na kujifunzia katika ngazi zote za elimu na mafunzo na...
  2. Muttaline

    Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

    hamaa aliuliywa where is the key? akajibu I puted it up the table..... kiingereza ni shida
  3. Muttaline

    Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    Pole sana ndugu yangu Zitto. Tupo pamoja katika dua ya kumtakia mama maghfira
  4. Muttaline

    Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

    hakuna kitu kama hiki labda college of humanities
  5. Muttaline

    Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

    hakuna mwanaudsm anaweza kuja hapa na ----- huu.... hata kuandika haujui poor you
  6. Muttaline

    Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    "Utasikia watu "yani hata ualimu amekosa?" Nenda chuoni UDSM katika zile course za ualimu BAED, BED, BSE na kadhalika kisha uliza matokeo yao. Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kwamba kwa couse ya BAED wanafunzi wanaodahiliwa pale ni kuanzia DIV 1 hadi cut off ya 2.10. kisha nenda UDBS kwenye...
  7. Muttaline

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Mungu akupe shifaa H.O.E we really miss u
  8. Muttaline

    Ni ushamba au ujinga? Naombeni kujua

    Duh kazi bado kubwa, chukulia mchango wake positive basi maana kwa uandishi huu kweli kuna walakini na elimu yako. Hakukuwa na lazima ya kujibainisha kama msomi wa chuo kikuu
  9. Muttaline

    Wataalam dawa ya wizi wa simu tz

    Nashukuru sana kwa ufafanuzi huu mkuu, nje kidogo ya mada.. naomba unielekeze namna ya kuextend internal memory ya simu. Maana hii kila nikiongeza application inalalama low space pamoja na jitihada za kuhamisha application kwenye Memory Card (sio zote zinakubali kuhama) lakini tatizo limeendelea...
  10. Muttaline

    CCM yazikwa rasmi chuo kikuu cha Iringa

    Slaha ndo nini?
  11. Muttaline

    Vitabu vya shigongo!

    Wakuu naomba kufahamishwa vitabu vya Shigongo vinapatikana wapi kwa hapa Dar es Salaam?
  12. Muttaline

    Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

    Hahaha roho inauma enhee
  13. Muttaline

    Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

    Bado viwili kabisa
  14. Muttaline

    Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

    Hahaha angalia usijimushi
  15. Muttaline

    Mliokosa mikopo HESLB uanganeni!

    Mbona Engineering ni priority program??
Back
Top Bottom