Search results

  1. T

    Kenya kuanza kutoa Mikopo kwa Wanafunzi wa Diploma

    Tangu lini serikali ya Tanzania imeanza kutoa mkopo kwa wanafunzi wa Diploma?una uhakika na unachoongeq au una ushahidi wa hayo unayoyaongea ndugu yangu?
  2. T

    Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

    Muache kuombea Taifa lenye kupinga ushoga nyie mnaombea Taifa lenye kisapoti na kupromote ushoga? Huyo ni Mungu gani mnayemuomba? Ni huyu huyu aliyeteketeza sodoma na gomora au mwingine? Hayo maombi yatakuwa kinyume chake! Na majibu mtayaona!
  3. T

    Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

    Nimewahi kupanda Precision ile kutoka Dar tu baada ya dkk 15 engine moja ikazimika na tulikuwa tunaelekea Kilimanjaro,tulisafiri na engine moja hali ya abiria ilikuwa mbaya sana tukiangalia propeller moja haifanyi kazi hadi tunatua KIA tulikuta Vikosi vya Fire vinatusubiria airport ,ukweli...
  4. T

    Afrika ili tupate maendeleo tunahitaji tuongozwe na Rais madikteta wenye vision

    NINAOMBA KUJULISHWA ,HIVI ZILE PESA ZA TOZO TULIOKUWA TUNAKATWA KWA AJILI YA UMEME WA REA ILI KUFIDIA GHARAMA ZA UMEME VIJIJINI ZIMEENDA WAPI? Je?TOZO IMEONDOLEWA? ITAKUWAJE UMEME MJINI NA VIJIJINI UWE SAWA WAKATI HATA MATUKIZI SIYO SAWA? HAPO NADHANI WATU WANA MPANGO WA KUUZA SOLAR HUKO VIJIJINI
  5. T

    Tuhuma kipindi cha Clouds 360 kutokuwa na mizania

    Inasikitisha sana huyu DC asiyejielewa ,kwankawaida kiongozi mwenye element za Sabaya kama Rais Samia suluhu atamrudisha inabidi tuamini kuwa intellegence yetu haifanyi kazi vizuri na kwa uueledi kwani uharibifu alioufanyani mkubwa kuliko maelezo ya kawaida ,amekuwa ni mtu wa kuuma na kupuliza...
  6. T

    Nawezaje kutumia hotspot kwenye Samsung galaxy s4 at&t

    Wadau ninaomba msaada wa jinsi ya kuifanya simu yangu galaxy s4 at&t iweze kutumika kama hotspot, natanguliza shukran
  7. T

    Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

    Wakati unajadili hilo unapaswa ujue hizo nchi,ukubwa wake na idadi ya watu wake ,Katika Hali ya kawaida Ni sawa na wananchi wa Mombasa kusema kuwa Kama bandarini ya Mombasa ingekuwa Mali ya Mombasa huduma nyingi za kijamii zingekuweza bure,Huyo Kagame kwa nini asifananishe Kenya na bandari ya...
  8. T

    Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki watofautiana juu ya Vikao vya EALA kufanyika Arusha pekee!

    Ninaomba msipoteze muda Kwani humu jamii forum imevamiwa na wanyarwanda ndiyo mnaojibizana nao,tena bila kujua mnapoteza muda wenu hivi hamuoni jinsi wanavyoandika tu mkajua kuwa Hawa siyo Watanzania?hawa watawapoteza mkiwafuata bila kufanya tafsiri rahisi ya Yale wanayoyaandika,
  9. T

    Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

    Habari kutoka vyanzo mbalimbali vilivyoko Sudan vinadai kuwa Kulfi kuwa na mapigano makubwa yameyosababisha Askari Saba wa JWTZ kupoteza maisha leo. Taarifa zaidi nitawaletea nitakavyozithibisha
  10. T

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    REPORT YA UN DHIDI YA RWANDA NDANI YA DRC, By CHRISTOPHER RHOADS Associated Press Refugees of the M23 rebellion in an eastern Congo hospital in August. UNITED NATIONS—A final report from an independent United Nations body asserts Rwanda continues to back a rebel army in eastern Congo...
  11. T

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Kuhusu uhusika wa Paul Kagame Katika mauaji ya kimbari Hakuna asiyefahamu na ndiyo sababu Hana mpango wa kuacha nafasi ya urais aliyonayo hivi sasa yeye mwenyewe anajua kuwa file lake liko pending,na ni miongoni mwa viongozi wakubwa wanaopinga kesi za viongozi wa kiafrica zisipelekwe Den...
  12. T

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Ninapenda kuchukua fursa hii kuulizia credibility ya Rais Paul Kagame: Hivi Kama yeye ni muadilifu General Nkunda yuko wapi? Na Huko DRC hakuua?watu hawakubakwa! Mbona anakuwa double standard? Nani hajui kuwa na yeye amehusika Katika mambo mengi tu? Imefika hatua akae na waasi. Hakuna...
  13. T

    Jeshi la polisi na ubabaishaji

    UBABAISHAJI WA JESHI LA POLISI Ninapenda kuchukua fursa hii kuelezea ubabaishaji na ukosefu wa mbinu shirikishi Katika ulinzi halisi wa wananchi na Mali zao,Katika Hali isiyo ya kawaida nimeshangazwa saana kusikia kuwa msemaji wa jeshi la polisi akisema kupitia Radio BBC leo asubuhi...
  14. T

    Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

    Hotuba aliyoitoa Mh.Zitto ilikuwa fupi lakini yenye ujumbe mzito saana na imejaa uelewa na uzalendo wa hali ya Juu,ni Hotuba fupi na imejaa mambo mengi Saaana ila tatizo ni moja,ni watu wachache saana wanauwezo wa kutafsiri maneno ,kwani hata kiswahili kinahitaji tafsiri pia,kwa sababu hiyo ni...
  15. T

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Ninaomba kuchukua fursa mbali na kumkaribisha Mh.Tibaijuka pia Kwa kumpongeza kuchukua uamuzi Wa kujiunga na jukwaa hili. Ningependa kuwakilisha swali langu kwako linalohusu ardhi. Swali langu ni Kama ifuatavyo: Ni wapi umefikia Katika hatua zako na jitihada gani unafanya kurejesha VIWANJA VYA...
  16. T

    Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

    THE DARK SIDE OF MONSANTO Right now, there is probably no other company that is doing more to endanger the health of this planet, and it's inhabitants, than Monsanto. With Nazi-like attitude, they are leading the world in shear destructive evil greed. First they were a drug company, and then...
  17. T

    CHADEMA in war against the truth

    Ndugu zangu wa JF,hapo kilichotumika kurekodi ni spy gadgets ambazo zinakuwa na hidden camera,na Mtu asiyeijuwa yyt anaweza ku rekodiwa ni Rahisa saaaaana,ila ningeomba wanasisa basi waombe hiyo footage ipelekwe nje au waandoshi wa habari makini waunde tume Yao ya uchunguzi kuangalia km kna...
  18. T

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Katika Hali ya kawaida na kwa uzoefu wangu wa matumizi ya hizi gadgets,hiyo video imerokodiwa kupitia hizi gadgets ambozo zina hidden camera ,na Kama kuna Mtu anataka kuelewa zaidi ninamna gani zinafanya Kazi sawa sawa Kabisa na hiyo imeyoonekana Katika video ya Rwakatare anitafute/tuwasiliane...
  19. T

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Watanzania tunaenda wapi? Mbona tunaongozwa zaidi na mapenzi yetu kisiasa tunasahau haki na Sheria?
Back
Top Bottom