Search results

  1. MTOTELA

    JE UNAMTAKA BEKI TATU UMESHINDWA KUMPATA?

    *MBINU ZA NAMNA YA KUMTEKA BEKI TATU* 1. Kuwa mcheshi kwake. 2. Uwe mtu unayemjali sana, mchukulie kama dada yako. 3. Akigombezwa na Mama/Mkeo, kuwa wa kwanza kumtetea/kumfariji katika huzuni yake hiyo na pia wakemee wadogo zako/ndugu kumdharau. 4. Mshirikishe kwenye mambo yako ya msingi...
  2. MTOTELA

    Hivi wapiga chabo huwa mnasikiaga raha gani kuchungulia wenzeni wakiwa faragha?

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Siku moja nilikuwa gheto na manzi yangu sasa wakati wa malovedavi manzi yangu akajakushtuka kuwa kuna mtu dirishani anatuchungulia tukiwa tunafanya mapenzi. Mimi pia nilikuja kumuona huyo jamaa siku nyingine akituchungulia sasa nikaja kujiuliza hivi...
  3. MTOTELA

    Natafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye

    habarini wana JF natafuta mpenzi amabaye atakuja kuwa mke mbeleni, awe tayari kupima ukimwi, awe black au weupe asilia na si wakununua dukani, awe chini ya miaka 30, awe na elimu mwisho ya form six, awe mnene kiasi, awe na chura akitembea itikisike asiwe mwembamba wala mnene sana unene wa kiasi...
  4. MTOTELA

    Povu la Gwajima kwa Rc Makonda

    Gwajima aongea na waandishi wa habar na waumini wake amesema kuwa paul makonda ana wivu wa kimaendeleo alioupata yeye ndio maana anamsakama amesema suala la yeye kumilik chopa linamuuliza sana gwajima ndio maana anamsakama. Akaenda mbali zaidi akasema kwa nn hakumtaja lizy 1 ambaye amekuwa...
  5. MTOTELA

    Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

    Saa tano imeshatimia tunaomba mtujuze kinachojiri hapo central polisi Dar. Wale wala sembe waliotajwa jana na mheshimiwa Makonda wamesharipoti hapo au? Kama wameripot wamefunguliwa mashtaka tayari? Tupieni taarifa hapa wakuu ======== Updates...... Baadhi ya wasanii wanaendelea kufika central...
  6. MTOTELA

    Sipendi mwanamke anayevua chupi mwenyewe

    Wakuu, Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full mizuka.
  7. MTOTELA

    Mpemba aliyetajwa na rais ni nani?

    Wakuu naomba kufahamishwa kwa anayejua. Juzi kati raisi alipotembelea wizara ya mali asili alimtaja mpemba kuwa anahusika na biashara ya pembe za ndovu, huyu Mpemba ni nani kwa anamjua atuambie na sisi tumjue adui huyu wa taifa.
  8. MTOTELA

    Chochote kuhusu SAUT main campus niulize ntakujibu

    Kwa wale waliochaguliwa saut main campus niulizen chochote ntawajibu. Karibun saut tulijenge jiji la mungu
  9. MTOTELA

    Tuwe makini na hiz barber shop

    Siku moja nilienda kunyoa saloon moja maeneo ya sinza baada ya kumaliza kunyoa nikaenda kuosha kichwa kwenye kichumba maalum kwa ndani kidogo kufika huko nikaamua kufanya scrub kabisa hapo ndo kaz ikaanza sasa yule dada akakibana kichwa changu kwenye matiti yake aliyeyaboost mara mikono iingie...
  10. MTOTELA

    Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

    Ramadhan Ali Kihiyo alikuwa mbunge wa Temeke alishinda uchaguzi wa Temeke.... baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kwa kua Mtuhumiwa alitumia vyeti visivyo vyake. Yafuatayo ni Mahojiano Ya Dr. Lamwai na Mtuhumiwa Kihiyo. Lamwai: You say you graduated from the Dar es Salaam...
Back
Top Bottom