Search results

  1. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Ndiyo lazima ajenge bond kati ya aliye tumboni na aliyepo,na kuendelea kunyonyesha ni njia mojawapo ya kubond, watu hapa wanamshauri aache kunyonyesha eti asikae nae karibu sijuhi ni mawazo ya wapi haya
  2. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Yani nashangaa wanashindwa kutumia akili ya kawaida kabisa kufikri ,eti akili ya mazingira na mazoea, yani sijuhi nini ila Taifa letu kwa kiwango kikubwa lina watu wanaokumbatia ujinga.
  3. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Napenda kujibu kwa fact,hebu na wewe tupe fact ya mtaani kwako huko kubemendwa kuna kuwaje,na hayo maziwa mnayosema yanakuwa yamechafuka ,yanachafukaje labda.
  4. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Yani wewe utakuwa na matatizo siyo bure kabisa,hebu nenda katafute chanzo cha allergies ni nini,na kuna allergy mbalimbali zinazosababishwa na vitu mbalimbali,nenda basi hata Google upate nadharia mbalimbali kuhusu kipi bora formula au maziwa ya ng'ombe au uliza hata dr yoyote akuambie...
  5. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Za kuambiwa changanya na zako,Jitahidi kupenda kusoma tafiti za watu ili upate kitu kipya,wewe ukipata information huchuji unabeba kama ilivyo ,
  6. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Penda kujifunza unapokoselewa,Nenda kaulize kama kuna dr atakeyekushauri kutumia maziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo,na kama hujui maziwa ya formula yanatengenezwaje nenda kajifunze kabla ya kubisha. Juzi kati hapa Drs wameelezea jinsi maziwa ya ng'ombe yanavyoleta allergy especially kwa watoto...
  7. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Hakuna kitu kinachoitwa kubemenda elimu ya mtaani inaponza sana.
  8. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Aisee maziwa ya ng'ombe yasiyotiwa maji? Content ya maziwa ya ng'ombe aliyoandaliwa ndama ,mtoto ndiyo ayanywe hivyohivyo? Ni bora formula kuliko maziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo maziwa ya ng'ombe yanasababisha allergy tena ni mtoto mdogo ambaye kinga ya mwili bado ni ndogo.
  9. The secretary

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Hamna hicho kitu kinachoitwa kubemenda, Anatakiwe aendelee kunyonyesha na azingatie kula lishe kamili na supplement ya vitamin na Zinc,atafute unga wa mbegu za maboga ili kuongeza kiwango cha maziwa ,
  10. The secretary

    Dawa ya Utando Mweupe kwenye ulimi wa mtoto

    Makalekale hata Mimi huwa nawasafishia wanangu,unajua huu usasa yani mtu hajuhi chochote ,kwa tunaobahatika kupata elimu ya wazee Wa zamani ukimwambia mtu anabisha ,wanafikiri watu Wa zamani walikuwa wanaenda kwa specialist.
  11. The secretary

    Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

    Waite tu ,wanakuja,Erickb52 jamani nimekumiss
Back
Top Bottom