TUESDAY, JANUARY 30, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti, amemtumia salamu mbunge wa Jimbo la Simanjiro James Ole Millya (Chadema) kutumia nafasi hii kuagana na wananchi wake kwani hawezi kushinda tena ubunge wake mwaka 2020.
Mnyeti aliyasema hayo wakati akizungumza kwenye uzinduzi...
JUMUIYA ya raia wa Comoro waishio Tanzania wameiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi nchini kusaidia kupatikana kwa ndugu yao Ammar Abdousoi Madou (26) aliyepotea na kutoweka kusikojulikana tangu tarehe 29 Juni mwaka huu.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo (jana) Jijini Dar es Salaam...
Makamu Askofu mkuu kanisa la Pentekoste (FPCT) Stevie Mulenga, amewahimiza waumini wa madhehebu ya dini mbalimbali nchini, kutumia fursa ya kusali kwa amani na utulivu kujenga nyumba za ibada nyingi ili kupanua wigo wa kumwombea Rais Magufuli kwa Mungu afya njema na amlinde dhidi ya maadui...
Hii nimeiona na kumsikia mh. Mulugo Akiyatamka katika kikao cha kutatua migogoro ya Ardhi inayohusisha wakulima na wafugaji.
Chanzo: Azam tv taarifa ya habari 2 usiku.
Arusha. A sitting allowance standoff for councillors, pitting mainly the government and the city council run by the opposition, continues after the local authorities were ordered to pay only Sh10,000 per day for each civic leader and the payment will be forfeited once the councillors boycott...
Watu sita wanaotuhumiwa kuwa majambazi hatari, wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi katika eneo la Mbezi kwa Yusuf Makondeni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Naibu Kamishna wa Polisi, Lucas Mkondya akionyesha silaha walizozikuta kwa majambazi hao
Kwa mujibu wa Kaimu...
By Salma Said, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein alitumia maadhimisho ya ibada ya Eid el Hajj kuwataka Wazanzibari kuwa wamoja huku mgawanyiko mkubwa baina ya Unguja na Pemba ukiendelea kujidhihirisha.
Akihutubia waumini wa dini ya Kiislamu jana...
Alianza kwa kusema Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi rombo unaunga mkono kauli ya Raisi JOHN POMBE MAGUFULI ya kupiga marufuku mikutano ya siasa,maandamano na oparesheni zote zenye kila dalili za uvunjifu wa Amani na kutoa onyo kwa vyama vitakavyo jihusisha na uvunjifu wa amani...
Tumeshuhudia nyimbo zisizo na maadili zikifungiwa kwa kurekodiwa Video zisizo faa au kuwa na maneno yasiyofaa, sasa najiuliza hivi kinachoangaliwa ni nyimbo au filamu pekee? na vipi kwa watu kama hawa wanao andaa viclip vidogovidogo kama hivi na vinasambaa kwenye mitandao na kuonekana na watu...
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja ametoa siku tatu kurejeshewa madawati yaliyotengenezwa kwa fedha za mfuko wa jimbo
Agizo hilo amelitoa kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Visent Bushaija kutokana na madawati hayo kusambazwa shuleni bila kukaguliwa na kuwekewa nembo...
Kuosha magari ni sawa, je kwa hii ya kuvaa skin tight ni sawa?
Naibu Spika Dk. Tulia aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri kuwaunga mkono waandishi wa habari
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, jana iliahirisha kesi ya mauaji ya mwanahabari, Daud Mwangosi inayomkabili askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Iringa (FFU), Pasificus Simon hadi leo.
Kesi hiyo iliahirishwa baada ya upande wa Serikali kufunga ushahidi wake. Kesi hiyo iliyoanza...
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Zuberi Ali Maulidi
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), wamepitisha hoja binafsi wakitaka Chama cha Wananchi (CUF), kichunguzwe na kikibainika kinahusika na vitendo vya ubaguzi ulijitokeza Zanzibar, kifutwe.
Wajumbe hao hawakuishia...
Wakuu!
Kupitia taarifa ya habari ITV saa 2 nimeona na kusikia kutokea Mwanza juu ya zile tani 500 zilizopelekwa huko kutokea kiwanda cha kagera ili kuokoa uhaba wa sukari katika jiji hilo, cha kusikitisha imetangazwa kuwa wananchi walinunua mfuko wa Kg 50 kwa bei elekezi ya Tshs. 98,000/= kwa...
Wana JF wenzangu.
nachukua fulsa hii kuandika juu ya hili suala la sukari ambalo kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kuliko walivyojinadi hawa viongozi wetu wa awamu hii ya tano.
Ikumbukwe kwa huku nilipo wakati Kikwete anaondoka mfuko wa Kg. 25 ulikuwa unauzwa Tshs. 44,000/= hadi 44,500/=...
Wakati serikali ikiendelea na zoezi la kamata kamata ya wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono “kuuza miili yao” Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wameliruhusu Shirika lisilo la kiserikali la Rafiki SDO kuendelea kutoa elimu ya UKIMWI kwa wanawake wanaojihusisha na biashara...
Wadau.
Nichukue fursa hii kuwapongeza viongozi wetu kwa kazi nzuri ya utumbuaji MAJIPU inayoonyesha kuwa inataka kuleta nidhamu ya watumishi wa Umma wawapo kazini kwani inatupa faraja sisi wananchi wa kawaida
Lakini cha kusikitisha niweke wazi hadi sasa hali ya utoaji huduma Afya katika Mikoa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya msako wa kushtukiza katika kampuni ya Tanzania China Trade and Tourism Development Ltd iliyoko Barabara ya Nyerere Dar es salaam baada ya kupata taarifa kutoka kwa msamaria mwema na kukamata vifaa pamoja na malighafi za kutengeneza na kutoa vibao vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.