Search results

  1. Mjomba wa taifa

    Mauaji Mererani yafunikwa

    Siku ya jumamosi ya tarehe 29.7.2017 kulibainika kayaking ya wachimbaji wa madini wawili waliouawa kufuatia mapigano ya wachimbaji baina ya mgodi wa Tanzanite one dhidi ya mgodi maarufu kwa jina la "mhindi". Katika mapigano hayo mtu mmoja alijeruhiwa macho yake yote mawili. Asubuhi hiyo vyombo...
  2. Mjomba wa taifa

    Mark Mwandosya karibu timu ya mabadiliko

    Mzee with Mwandosya unaheshimavya kipekee nchini Tanzania. Elimu name taaluma yako watanzania wanaihitaji sana. Busara zako bad zinahitajika kuhakikisha nchi hii inapiga hatua. We we umekuwa Alana muhimu kuwakilisha watu wananchi Wa Nyanda za juu kusini. Mwandosya kujiunga kwako timu ya...
  3. Mjomba wa taifa

    Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

    Regina yupo fiti Sana hata kwenye lugha ya yai. Nchi imepata first lady waukweli, sio yule anaeongea Kama anafundisha chekechea. Mtotooooo.....Wa..... Mwenzio...... Niiiiiii.... Wa kwakooooo....
  4. Mjomba wa taifa

    UKAWA waitisha kikao cha dharura

    Kweli CCM choka mbaya, mwaka huu mmelaaniwa. Rudini tena kwa aliewatuma, hizo sio propaganda za level ya kuwekwa JF. Mwambieni na hiyo mmefail awape technic nyingine.
  5. Mjomba wa taifa

    Matokeo ya awali uchaguzi wa Rais, REDET inatumika

    Tangu kuanza kwa chaguzi za Rais katika mfumo Wa vyama vingi, REDET wamekuwa mstari Wa mbele kufanya tafiti na kutoa matokeo mara kwa Mara kuonesha mtizamo Wa wapiga kura juu ya mgombea urais anaepewa nafasi ya kushinda. Hali hiyo imekuwa tofauti kwa chombo hicho muhimu, achilia mbali vile...
  6. Mjomba wa taifa

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma kumpata mgombea Urais Kupitia chama hicho sasa imegeuka Kero sasa. Kama chama tawala, kila mwananchi amekuwa na hamu ya kujua ni nani atakaepitishwa na chama kugombea nafasi hii muhimu na atakaetoa taswira ya Serikali ya Swali ijayo. Mpaka hivi yaelekea...
  7. Mjomba wa taifa

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma jumpstart mgombea Urais Kupitia chama hicho sasa imegeuka Keri. Kama chama tweaks, kila mwananchi amekuwa na hamu ya kujua ni nani atakaepitishwa na chama kugombea nafasi hii muhimu na atakaetoa taswira ya Serikali ya Swali ijayo. Mpaka hivi yaelekea...
  8. Mjomba wa taifa

    Interview Eastern Zone NMB

    Nilienda pale Nmb morogoro Kuna HR manager Mpya kama mpemba fulani, jamaa wanamsifu yupo fair sana na hana tamaa.
  9. Mjomba wa taifa

    Dr, Prof. Msomi asienukuu maandiko yeyote.

    Nimejitahidi sana kufuatilia hotuba za marais mbalimbali duniani waliopita na waliopo madarakani. Zaidi ya hapo nimejitahidi kufuatilia maongezi mbalimbali ya wasomi mbalimbali duniani nimegundua kuwa katika kujenga hoja mbalimbali wamekuwa wakitumia mifano mbalimbali ya matukio ya nyuma...
  10. Mjomba wa taifa

    Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

    Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni. Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani...
  11. Mjomba wa taifa

    Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

    Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni. Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani...
  12. Mjomba wa taifa

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Alivyoondoka kwa Gadhabu na mijihasira pale Diamond Jubilee, leo Ikulu kuna watu watachapwa makofi. Kulala saa 2.
  13. Mjomba wa taifa

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Rais JK ambaye alikuwa ahutubie taifa kwa kuongea na wazee wa DSM ameahirisha, kisa yupo nje ya DSM. Kitendo alichokifanya Rais huyu wa nchi ni ubaguzi wa kutenga maeneo ndani ya nchi moja. Kwani Rais anahutubia wazee wa DSM tu na si wananchi wote? Kama suala ni kufikisha meseji kwa wananchi...
  14. Mjomba wa taifa

    Kikwete atunukiwa PhD nyingine Mandela University - Arusha

    Huyu jamaa nimeamini wamemkata mshipa Wa aibu, tuzo za kumdhihaki ye anajichekesha tu!
  15. Mjomba wa taifa

    Asante "Michael Gorberchov" kutuulia CCM

    Kwa wale waliokuwa wakifuatilia vita baridi (Cold war) kati ya kambi ya Magharibi ikiongozwa na Marekani dhidi ya kambi ya Mashariki chini ya Urusi, vita hivi vilianza kupungua nguvu na hatimae kutoweza kabisa kufuatia kusambaratika kwa USSR. Hii ilikuwa baada ya kiongozi mmoja alieitwa Michael...
  16. Mjomba wa taifa

    Rais Kikwete, kutimua Mawaziri wezi si uamuzi mgumu

    Kumekuwa na taarifa mbalimbali toka pembe zote nchini Tanzania kuwa Rais Jakaya Kikwete anatarajia kuchukua "MAAMUZI MAGUMU" ya kuwafukuza kazi Mawaziri walitaojatwa katika sakata la ESCROW pia kuwapumzisha kazi Mawaziri wote ambao wametajwa kuwa ni Mizigo kama vile Christopher Chiza. Sidhani...
  17. Mjomba wa taifa

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Ndugu zangu mnaosoma site hii kama nchi hii itaendelea kuongozwa na vibaraka na makuwadi Wa mafisadi kama spika Anna Makinda basi hapa hakuna tena nchi Bali ni maradhi, uchafu, upuuzi ili mradi kila ghasia. Upuuzi wa mama huyu mwenye sura mbaya mpaka roho yake ulianza toka kuteuliwa kwake...
  18. Mjomba wa taifa

    TBC1 wana matatizo gani leo?

    Hii nchi tunaongozwa na Matope, tena matope yenyewe ni yale ya kutoka chooni. Huwezi amini wakati watanzania wote wameamka na shauku ya kuona hatma ya ripoti ya Escrow bungeni leo. Bunge lilipoanza leo, Televisheni ya Taifa TBC ilikuwa inarusha kipindi wanaongea na wachekeshaji wa Bongo Movie JB...
  19. Mjomba wa taifa

    Makinda apigilia msumari wa mwisho jeneza la Pinda

    Kufuatia ombi la mheshimiwa Mnyika kwa Spika Ana Makinda leo asubuhi bungeni, Ana Makinda amejibu kuwa mpaka sasa hakuna kesi yoyote iliyofunguliwa inayohusu kusimamisha ripoti ya CAG na TAKUKURU isisomwe bungeni, akishangiliwa kwa kelele na vifijo Makinda amesema kuwa hata zile kesi 10...
  20. Mjomba wa taifa

    Watanzania tuamke usingizini na tuseme sasa basi

    Kufichuka kwa wizi Wa Escrow kumeendelea khthibisha kuwa Tanzania ni Shamba la bibi, yeyote mwenye uwezo ajichukulie atakavyo. Serikali imepoteza nguvu zake na sasa imegeuka kuwa genge la wapigaji. Serikali ndio chanzo cha viongozi wake kujichotea pesa za umma kwa sababu hakuna mdhibiti...
Back
Top Bottom