Search results

  1. john leonard

    Hivi watoto wa miaka 6 na 7 wamejulia wapi mapenzi? Kumbuka mchezo wa kujifcha na wa baba na mama.

    kwakua hawajaa ona zoezi la msiba mara kwa mara kama waonavyo michezo ya wazazi tangia wazaliwapo na kujifunza ila tusijue kuwa reflex is a teacher teaching us many thinks. jiulize mbina mmasai aongee kimasai na mmeru kimeru.ila mtoto huyo huyo akizaliwa meru na umpeleke akulie marekani...
  2. john leonard

    Hivi watoto wa miaka 6 na 7 wamejulia wapi mapenzi? Kumbuka mchezo wa kujifcha na wa baba na mama.

    reflex work,working best with emotions in a boost of adolescence! QUOTE=Makaura;7271696]Wana psychology, wazazi,na wanajamii ebu tusaidiana kujua watoto wa kijijini na mijini wamejulia wapi mapenzi(matinga)? Unawakuta watoto wanajifanya baba na mama then kinachofuatia ni Anyong' nyong, pia...
  3. john leonard

    Mkosamali: Mrema anajipendeleza alipwe mafao

    hivi ukimchamba bata utakuwa kweli umefanya kazi?ndio mda utapoteza,usafi utaonekana ila reward hautakuwa nayo kwani utaonekana taira! ndio bata desturi yake kutotunza usafi kwani uchafu desturi yake! QUOTE=kimeta cha ufisadi;7272119]Ndugu watanzania wenzangu kwa kijana yeyote aliye kuwa...
  4. john leonard

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Best way to kill a machine is to feed on its self.to kill a gear in an easiest way let it grand on its self rather than bringing an out impact to kill it like a hit or something. Look at osama and americans or the total game of terrorism!
  5. john leonard

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Best way to kill a machine is to feed on its self.to kill a gear in an easiest way let it grand on its self rather than bringing an out impact to kill it like a hit or something. Look at osama and americans or the total game of terrirism!
  6. john leonard

    RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

    Uhuru ni kutenda huru kwa mujibu wa sheria huru imuekayo huru mtanzania.
  7. john leonard

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    Chadema mwendo mdundo! Mfa maji haishi kutapatapa,waacheni ccm na order commanding zao watapetape,kwani yamewafika ya shingo sharti watapetape kutafuta ahueni ya kuishi angalao nyakati fupi zijazo.
  8. john leonard

    Updates: Mbowe na Lissu watikisa Njombe

    Aluta continua!
  9. john leonard

    Abiria wa Tanzania akamatwa Hong Kong na heroin ikiwa ndani ya mashine

    picha mbilii tofautii kabisa,check meno gear ya juu ni 4,na mwisho tofauti.chini nii meno gear 2 na mwisho wa round mbili tofauti,hata kama mashine ya kwanza iligoma ama kushndwa kukatwa na masine hata kufauliishwa kwenye mashine nyengiine mbona kilicho katwa pia ni tofauti?
  10. john leonard

    Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nassari Joshua akamatwa na Polisi na kuachiwa kwa masharti

    Nadhani globalisation itawawia ngumu kupika game ya kuwabrand raia na kutengeza michezo michafu!
  11. john leonard

    Mabomu Arusha: Mtazamo wangu

    kaka gemu ya kucheza na akili ama fahamu,mind controling issue.ila chadema iwe makini na maneno wayaongeayo kwani vita kuu ni yakunasa akili hususani sisi mbumbu tusiojiuliza kwanini.lema kahusishwa na mabomu kisa kauli,nauna mchezo ule wa ngeli ugaidi! Masaa 21 yaliyopita · Like
  12. john leonard

    Polisi wamwagwa uwanja wa SOWETO hakuna mtu yeyote kukatiza!

    :A S new: arusha pawaka moto,kwani naona moto!
  13. john leonard

    Bomu lilirushwa likaangukia hapa

    nathani tuendako cctv ni sharti kuwepo kuweka ulinzi kabla ama hata kubaini baadae,hii ni kwenye mkutano yote ya halaiki ya watu.poleni ndugu zetu!
  14. john leonard

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    poleni ndugu zetu,naamini ni nidhamu ya uoga inayopandikizwa ila zipo hata mitandao ya kijamii ya kukusanya watu na kufikisha ujumbe sasa nakwenyewe sijui watapiga mabomu?tukaze mkanda ushindi unakuja!
  15. john leonard

    Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

    Hisia ni hukumu batili,enenda kwa uhakika kwa kuuliza muhusika kabla ya kutuhusisha kutoa hukumu b:pray2:atili batili ya umbea wa hisia(stereo type)
  16. john leonard

    Miezi 6 ya Mangula kuwang'oa mafisadi CCM yayeyuka, adaiwa kukata tamaa!

    Tunza hati ya upiga kura wako,tengeza katiba bora,kisha hakimu awe 2015.
  17. john leonard

    Lema matatani tena, polisi wavamia studio

    usitufundishe nidhamu ya uoga,muziki ujumbe.
Back
Top Bottom