Search results

  1. M

    I'm back!

    wakulungwa, Nimerejea rasmi kundini baada kutoweka kwa kipindi kirefu, napiga miguu yote. Lekta.
  2. M

    Ajali Pwani Ruvu: Barabara ya Morogoro imefungwa Mlandizi, haipitiki

    Kwa tunao tumia barabara ya Morogoro-Chalinze Dar mziki ni mnene Kuna ajali daraja la Ruvu Tanker ya mafuta imegongana na fuso..zimamoto wamewahi Wazee wa betri hawakuwepo Kuna bonge pin!!!!!! Leo moro saa 12 jioni
  3. M

    Ajali Mto Wami: Coaster yagongana na basi la Hood, hakuna kifo bali majeruhi

    Kumetokea ajali kwenye daraja linalounganisha mikoa ya Kaskazin eneo la Wami Hakuna vifo bali majeruhi Chanzo ni basi la Hood kushindwa kushika breki na kugongana uso kwa uso basi aina ya Coaster ambalo lilikua linamalizia kuvuka daraja ambao ni njia moja Folen ni kubwa pande zote za barabara...
  4. M

    Kigoma: Ajali ya Hiace yaua watu 7 na kujeruhi 12, ni baada ya kupasuka tairi

    Imetokea ajali mbaya Kigoma njia ya Uvinza Kijiji cha Mulela. Mpaka sasa nimeshuhudia maiti saba. Hiace imepasua tairi na kupinduka Majeruhi wamepelekwa Hospitali ya Maweni Hiace ilikua imetoka Uvinza kwenda kigoma mjini Kwa mujib wa mashuhud Hiace mbil zilikua zinakimbizana zote za kampun...
  5. M

    Natafuta shamba la mpunga

    Rejea somo Natafuta shamba kwa ajli ya kilimo cha mpunga Liwe wilaya ya kakonko,chato au kibondo Liwe karibu na chanzo cha maji cha uwakika maana nataka lima misimu 2 Ekari 100 au zaidi Waweza ni dm humu humu JF
  6. M

    Jeneral wa Jeshi Congo ajiuzuli

    Jeneral John Tshibangu ameasi/amejiuzulu jeshi na kumpa Rais Joseph Kabila siku 45 awe ameachia madaraka na kuomba wananchi msamaha kwa kushindwa kuwaongoza Hata hivyo bado haijafamika Jenerali John alikua ameshika nyadhifa gani kwenye jeshi la Congo Je ni mapinduzi ya kisayansi yanaendelea...
  7. M

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Hali ya sintofahamu inazidi sambaa nchini Zimbabwe tokea Makamu wa Rais afukuzwe madarakani na Rais Mugabe >> Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wa Rais Jeshi la nchi hiyo limeanza sogeza vikosi katikati ya mji mkuu Harare hiyo ni baada ya mkuu wa majeshi kutangaza kuchukua hatua...
  8. M

    Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

    Kumekua na hali ya sintofahamu nchini Uturuki, Madaraja, flyover zimefungwa Waziri mkuu anasema kuna vikosi vimekataa ku-obey order toka kwa mabosi wao wa kiraia Je ni mapinduzi ya kijeshi yanaendelea? 08:00 am | July 16, 2016: UPDATES: - Kuna baadhi ya vikosi vimeasi kwa mujibu wa...
  9. M

    Mapigano makali nje ya Ikulu Sudani ya Kusini

    Kumetokea mapigano makali nje ya kasri ya rais wa Sudan ya Kusini, Mpaka sasa kuna sintofahau chanzo cha mapigano hayo, Rais Salva na VP Riek wote wako ndani ya ikulu Mawasiliano ya simu yamekatwa nchi nzima,
  10. M

    Gereji nzuri ya Subaru

    Wadau, Naomba mwenye kujua gereji nzuri ya Subaru kwa hapa Dar, Kasubaru kangu kanafuka moshi sana wakati wa kuwasha, Unatoka moshi mweupe kibao hasa inapokua imekaa kwa muda kama masaa 3, Pia ukiwasha inachelewa kupotea japo plug na petrol filter nimeweka mpya Subaru impreza sportwagon...
  11. M

    Tetesi: Bus la budget lapata ajali

    Basi la kampuni ya Budget limepata ajali mida hii Update na picha zitafuata
  12. M

    Masoud Kipanya katika ubora wake

    Wadau, Mwenye fikra pana ndio atamwele Masoud Kipanya katika katuni yake ya leo tarehe 15/10/2015 Nyumba ya jirani lazima warushe mawe Kazi kwenu!
  13. M

    Barabara zapigwa deki Musoma

    Wakazi wa mji wa Musoma waamua kuonyesha mahaba kwa mkombozi wa Tanzania mh Edward Lowasa Hakika mkoa wa Mara mabadiliko yamefika
  14. M

    Angalizo watumiaji wa barabara ya Mwenge-Tegeta

    Tafadhali zingatia sheria zote hasa mwendo usizidi maelekezo ya vibao. Traffic wapo na tochi zao wanapiga pesa.
  15. M

    Wanyarwanda kweli watamu (members only)

    Sorry kama hii picha ishaletwa hapa
  16. M

    Raha ya mvua za dar members only!

    Natamani mvua inyeshe mwaka nzima
  17. M

    Gazeti La Mwananchi latoweka

    Habari siyo rasmi kuhusu kutoweka kwa gazeti la Mwananchi siku ya leo,Ikumbukwe hii ni mara ya pili kwa wiki hii hili gazeti pendwa kutoonekana mtaani, Mwenye ufukunuku zaidi au kanusho karibuni
  18. M

    Foleni barabara Baruti-Msewe chuo kikuu

    Mida hii kuna foleni kubwa kwa wale watumiaji wa njia ya kimara baruti-msewe kutokea chuo kikuu Sababu ya foleni hazifamiki. Epuka kutumia njia hiyo kwa sasa kama inawezekana
  19. M

    Ujumbe kwa wakina dada

    Ujumbe muruwa kwa wakina dada, ila kaivaa m-baba hapa kwetu Rombo
  20. M

    Mwanajeshi akiuchapa usingizi

    Mgeshi akiwa anapunguza mawazo
Back
Top Bottom