Search results

  1. C

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Ni kweli kuna kirusi. Lakini tujiulize maswali rahisi. 1. Mwenendo wa zzk tangu ishu PM7 hadi kutimuliwa shonza et al unaridhisha? 2.Ni kweli zzk hamjui Ben SaaNane? 3.Kwa nini tuamini memo imevuja kupitia ofisi na si kwa zzk mwenyewe?
  2. C

    Siku ya 7 baada ya CCM kurusha "kete"... Wamefanikiwa asilimia ngapi?

    Kaka uko vizuri, ukweli ni kwamba ccm wakishinda kesi au wakishindwa kesi yote inawapunguzia umaarufu. Cdm watarudi kwa wananchi na kuomboleza wanaonewa. Ccm bado wanatumia mbinu za kizamani mno!
  3. C

    Jeshi la Polisi Zanzibar latoa 'picha' ya aliyemuua padre Mushi

    Watanzania tuna uvivu wa kufikiri, acheni kuchezea taaluma za watu. Hamtaamini atapotiwa mbaroni. mtasema kasingiziwa. "Nyumba hujengwa kutokana na ramani na sio picha" kitaalamu hii ina uhalisia zaidi kuliko unayoitaka wewe.
  4. C

    Lowassa: Tutachukua jimbo la Arusha kama uchaguzi ukirudiwa!

    Kasome hesabu acha viroja.
  5. C

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Vijana tuna nafasi zetu, kwa sasa dr atagombea, tutamchagua, atatuandaa kwa badae. So vijana tupunguze wenge.
  6. C

    Chadema waishiwa sera

    Eti wanaohudhuria mikutano ya cdm hawapigi kura! Tunafahamu mbinu za magamba kuiba kura na kubadili matokeo. This time? ...
  7. C

    Chadema waishiwa sera

    kuwa mwanaume wa kweli, acha kuidanganya nafsi yako.
  8. C

    Maandamano ya wanaharakati yasisitishwe

    Napongeza juhudi za mh zito na wadau wote (wanaharakati) wa ukombozi, hatimae magamba wametangaza nia ya kutii nguvu ya uma baada ya kusukumwa. Wanaharakati hawana budi kuandamana nchi nzima kwa amani kupongeza mshikamano mkubwa wa wanaharakati kupelekea magamba kutangaza nia ya kuwajibika...
  9. C

    Uwajibikaji wa mawaziri Tanzania

    Nilisema jk ana ajenda ya siri kuwabeba wapinzani (cdm) mkanishangaa, haiwezekani haoni kinachotokea!
  10. C

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    Nalazimika kuamini jk ana ajenda ya siri kuwabeba cdm ili awakabidhi rasmi jengo la magogoni 2015. 1.aliitumia mahakama kumwondoa lema 2.amekataa mapendekezo ya kamati za bunge kuwamwaga mawaziri wazembe. Haya yamewakera sana watanzania walio wengi hata ccm wenyewe wanahamia cdm...
  11. C

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Ccm wasiposaini wanajishitaki kwa wananchi.
Back
Top Bottom