Search results

  1. I

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Du! CHAI CHUNGU, We noma umenifanya niingie huku wakati siku zote huwa napita tu ila kwa hii naona kama umenikamata!!! malizia basiiiii
  2. I

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Habari njema hizi
  3. I

    Huu ndio uongo wa Padri Mapunda kwa CCM na mapenzi yake Chadema

    Nimesoma mpaka mwisho wa hiyo post yako, sijaona kama amechochea kitu hapo , yuko sahihi kwa asilimia zote cha mhimu ni kwamba ukweli una maumivu yake. Kwa huu mtindo wa BMW (Baba Mama Watoto) unafikri utawazuia hata viongozi wa kiroho wasiseme ukweli?
  4. I

    Hii katuni ya Kikwete vipi?

    Du! Kipanya huogopi?
  5. I

    JamiiForums SMS Alert is LIVE

    Tuko pamoja
  6. I

    Mtonyaji: CHADEMA mshukuruni Lissu na waandishi wa Habari sakata la Mwangosi vinginevyo...

    Mungu akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?. Sio tu kwamba CCM imechokwa na watu bali hata Mungu ameichoka na ameandaa njia nyingine ya kuleta ukombozi kwa Watanzania kupitia CDM, kwa wa wakristo kama mie mtakubaliana na mie kuwa hata enzi za Agano la kale Mungu alimukataa Sauli...
  7. I

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Du! hapa utakuwa umewachanganya wana JF walio wengi ila mie nimekupataaaa!!!!!!!!!!!!!
  8. I

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Aisee inasikitisha sana! huo ulikuwa ni usiku wa mateso makali kwa Dr Ulimboka, ninaamini damu yako na mateso yako Dr si bule Mungu atajilipizia kisasi kwa hao waliofanya unyama huo bila hata na chembe ya huruma!
  9. I

    amtia mimbamama yake mzazi

    Naona huyo mama hakufaidi ujana wake sasa ndo kazindukia kwa mwanae!!!! Laana hiyo kama ya sodoma na Gomora
  10. I

    HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    Badili ratiba iwe ni baada ya tamthilia.
  11. I

    CV ya Anne Makinda na utitiri wa madaraka na Advance Diploma tutasalimika kweli???

    Wigi alilovaa kichwa huwa linaniacha hoi:A S 465:
  12. I

    MAONI ya Upinzani Bungeni, Ofisi ya Makamu wa Rais; Muungano; A MUST READ

    Du! vichwa vimeenda shule hivyo, Mwigulu hatakuwa na jipya kwenye hii hotuba
  13. I

    JK: Natambua serikali kuwa ni moja ya watuhumiwa na kujichunguza ni sawa?

    Hapo kwenye Red! kung'olewa meno mawili na kucha bila ganzi sio ushahidi wa huo unyama? wa taka ushahidi gani weye?
  14. I

    Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    Tunakusubiri kwa hamu 2015 uokoe hili jahazi linalozamishwa kwa makusudi!
  15. I

    Kwanini CHADEMA imekuwa kama chama tawala? inapigwa vita na CCM, CUF, UDP nk?

    Yani kama ulikuwa kichwani kwangu Ritz= Riz moja Tz!
  16. I

    Mazingira yaliojenga msimamo mkali wa madaktari... Utamu wa ngoma!

    Wana macho lakini hawaoni! wanamasikio lakini hawasikii na sababu kubwa ni kuwa Mungu kaamua kuwaangamiza! mwisho wa haya hauko mbali. ukiona usiku umeendelea tambua kuwa mchana umekaribia
  17. I

    Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    Madai yao ni ya msingi kwa asilimia 100
  18. I

    Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka

    Mwalimu usijilinganishe na Dr! umesoma miaka 3 yeye kasoma miaka zaidi ya mitano! pia unaujua ukweli kuwa robo tatu ya walimu ni wale waliofeli mitihani! Acha madaktari wa dai haki yao make elimu yao wameipata kwa jasho jingi pia wameshikilia/ wanaokoa maisha ya watanzani! fuatilia madai yao...
Back
Top Bottom