Search results

  1. kevin nathan

    Nani anafaa kuwa Rais Bora wa Afrika Mashariki kutokana na utendaji kazi na udhibiti rushwa?

    kagame naona anafaa sana kuliongoza taifa lolote we ona tokea ameongoza taifa la rwanda uchumi umepanda sana
  2. kevin nathan

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    nyote mmesema infwact haya mabo si ya kulaumiana bila kujua kiundanmaana kila mtu katoa point isipokuwa point mija tu ndo ya ukweli kuwa wahaya lazima awe na msichana wa ke wa kuhaya hata akija mjini akawa na wa songea lakini kaa ukijua akirudi nyumban ana wake, so persay hawa wanyamahanga...
  3. kevin nathan

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    UDSM PROF MUKANDARA, PROF MULOKOZI,PROFF RUTASHOBYA,PROFF RWEKAZA, PROFF RWAITAMA IFM KATO RUGANGILA,PROF TUMWESIGE, PROF MZUMBE KABIGIZA,prof kaijage SAUT, mweiga baregu prof, kwaNINI HAWA TU JAMAN
  4. kevin nathan

    Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    kweli wee ni jembe nadhan hii ingesomwa mbele ya bunge:becky:
  5. kevin nathan

    Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    wee ni mdogo wake oscar kambona nini mbona umeguswa sana na kuiponda sera ya mwalimu? aaaaa nimekumbuka ulidhurumiwa magari wakati wa utaifishaji eee poleee sasa nadhan umwendee kingunge akupatie:A S angry:
  6. kevin nathan

    Paper ya Prof Shivji kwa BLW – Katiba mpya

    wee naye kwahiyo unatuambia nini yaan unachopendekeza wewe mzanzibariii
  7. kevin nathan

    Ni mbunge gani ktk mkoa wa Kagera atarudi 2015?

    kweli usemalo pia huyu a cmment ambavyo ana uhakika ni ushauri mzuri sana kaka thanx
  8. kevin nathan

    kumbe huyu ndo alikamatwa na mkataba wa richmond akaomba msamaha kwa mzee wa feri

    utafiti unaonesha kuwa CCM mwaka sifa yake inaongezeka kwa asilimia kadhaa kila uchaguzi, mwaka 1995 mkapa alipata 57 na 63 mwaka 2000, average ni 60. hiyo ni awam ya tatu, awamu ya nne kikwete 2005 80.28 then 2010 ,61 average ni 70.4% then mwaka 2015 ccm atapata 65 na 2020 63 average 64, hiyo...
  9. kevin nathan

    Ni mbunge gani ktk mkoa wa Kagera atarudi 2015?

    sioni kama nyote mnaochangia ili kama mna akili nzuri yaan taifa lipo kwenye misukosuko mingi mnaleta ukabila eti karne hii, acha hizo bwana, huyo naye sema bukoba imechoka kairinganisha na mkoa gani au wilaya gani? niambie bukoba maendeleo yaliyoko utayalinganisha na tarime, au mtwara au...
  10. kevin nathan

    Chadema wanapaswa kujipanga kwa hili kabla ya 2015

    na uhakika kama kwa sasa ndani ya chadema hakuna makundi , yapo japo hayajawa na mizizi mingi saana mfano watu wamekuwa wakipingana waziwazi ndani ya CDM hasa wakati wa kuteua wabunge wa viti maalumu hii ingepaswa kuwasilishwa kama topic isemayo NINI KIFANYIKE ILI KUDHIBITI MAKUNDI YANAYO...
  11. kevin nathan

    Maneno yaliyotamkwa na edward sokoine kuhusu mafisadi mwaka 1983

    acheni kuchangia hoja bila kujua lowasa anahusika vipi kwenye mambo haya labda kasingiziwa, nadhan angekuwa alifanya kweli asingejiuzulu ili alinde maovu aloyafanya ila kwa kuwa alidanganywa kuwa atalindwa endapo akijiuzulu ili watanzania wasilete noma juu ya miradi feki iliyoibuka awamu ya nne,
  12. kevin nathan

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    hii ni wazo zuri sana kaka kumbe watu kama nyie mungepewa umeneja mungewajibisha kweli
  13. kevin nathan

    Cuf makao makuu yaagiza wabunge wao wote kusaini waraka wa zitto kabwe

    Nawaambia hawatafanikiwa hiyo ni story kama nyingine zinazotokeaga tanzania siitofautish na story ilokuwepo ya dowans richmond kagoda na meremeta pia buzwagi ,huwa sioni wabunge wanafanya nini bungeni wanashindwa kuiwajibisha sirikali kwa maovu wanayotufanyia tena kaeni kimya mmeshindwa yale ya...
  14. kevin nathan

    Lowassa hasomi ripoti ya kamati, anakusanya saini 71?

    lowasa teh teh teh namuunga mkono bora azikusanye hizo naye 71 maana, najua wakidhamilia zitatimia ukiangalia wapinzani wapo zaidi ya 50, kuna wanaharakati walioko ccm ni kama 7, then kuna wanaodhani baraza la mawaziri likivunjwa wao ndo watapewa hivyo wako kama 30 nao wanataka baraza la...
  15. kevin nathan

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    hiyo siyo point maana kuacha mambo yakaenda holela ni udhaifu na ni vizuri kuwa na msimamo kwa baadh ya mambo maana nchi itayumba yumba saaana
  16. kevin nathan

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    mbona mabaya yake hujayaweka wazi??? may be mabaya ni mengi kuriko mazuri hivyo naomba uniwekee wazi kuhusu mabaya yake, ukishindwa ntakusaidia
Back
Top Bottom