Search results

  1. K

    Natafuta ajira ya kunitoa kimaisha.

    Kama una matatizo ya moyo hautakiwi kabisa magereza mafunzo yao ni kama jkt vile!!.pole sana.
  2. K

    Nafasi za kuvuna mpunga

    Nimewahi kufanya kazi huko lakini ilinishinda kuna boss mmoja ni mungu m2, malipo duni hakuna utu hata kidogo wakati unafanya kazi toka alfajiri saa kumi na moja mpaka jioni saa 12 hakuna over time.nilisepa mwenyewe.
  3. K

    Are u ready to work in IRAMBA,KITETO OR SIMANJIRO? Apply now

    Mi ni ko tayari kwenda kufanya kazi huko jamani maisha popote!.
  4. K

    Tupo pamoja jamii forum!!!!.

    Mambo vipi waungwana jamii forum ni mtandao makini ulionishawishi na kunivutia kujiunga kwa lengo la kuleta ustawi wa maisha yangu naomba mnikaribishe ndani ya ulingo kwani kuku mgeni.........
Back
Top Bottom