Search results

  1. NAKEMBETWA

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    yaan Sterling, aguero, salah , mane, aubameyang wang'are halaf King Messi asing'are hivi huwa mnatumia mantiki gani aisee? hapo tu amekutana mara chache na team big 6 amezifunga goal 24 kwa miaka 10 wakat Aguero kwa kipind chote hicho hicho amezifunga mara 43 sasa imagine anakutana nao kila leo...
  2. NAKEMBETWA

    Hivi kuna kocha bora amewahi kutokea Ulaya kama Jose Mourinho?

    mleta mada ndio alianza kujua mpira mwaka huo
  3. NAKEMBETWA

    Hivi kuna kocha bora amewahi kutokea Ulaya kama Jose Mourinho?

    umeeanza kushabikia mpira 2004 ee?
  4. NAKEMBETWA

    King Alikiba na back to back

    views nyingi zinaanzia ngapi?
  5. NAKEMBETWA

    Neymar afungiwa mechi tatu kwa kuwatusi Waamuzi baada ya timu yake kutolewa UEFA na Man Utd

    kwahiyo next season kjana hatahitaji kuumia ili akaungane na dada yake
  6. NAKEMBETWA

    Tigo sasa hii ni sifa

    njoo zantel
  7. NAKEMBETWA

    Sisi tulio tahiriwa na sime na visu porini tunatofauti gani wale waliotahiriwa kwa viwembe na nusu kaputi

    Hivi aliyetahoriwa porini na hospitali yupi utalamu na uangalifu ulitumika? kama ishu ni kusewa kukatwa mboro basi wewe wa porini una hatari kubwa
  8. NAKEMBETWA

    Uchawi uliong'arisha ulaya ni upi? Tufanyaje?

    mkuu uko sahihi sana Ikitokea Mungu akasema vitu vyote vinavyotuzunguka ambavyo vimetokana na wazungu vitoweke tutabaki uchi wa mnyama
  9. NAKEMBETWA

    Leo Messi, Mo Salah na Sadio Mane kuna mchezaji bora wa Dunia

    Mo salah was a one season wonder player Hata kwenye kinyanganyiro cha mchezaji bora wa Epl msimu huu hayupo
  10. NAKEMBETWA

    Ufanyike utaratibu vikosi bora vya ligi mbalimbali za ulaya vichezeshwe pamoja.

    kwahyo bando lako unalitumia jf tu? just make google your friend !
  11. NAKEMBETWA

    Hii ndio HBC the Tz rap legends

    Sijajibiwa mkuu [emoji38][emoji38][emoji38]
  12. NAKEMBETWA

    Ushauri: Nadhulumiwa na mjomba bila sababu?

    ukitaka ndugu mkae kwa amani muwe mbali mbali ila mkiishi pamoja kila siku mnaonana lazima mgombane mara mashamba mara huyu akuambie unamroga ili mradi chuki na wivu zinatamalaki
  13. NAKEMBETWA

    Ushauri: Nadhulumiwa na mjomba bila sababu?

    Achana nao mkuu tafuta mali zako ikiwezekana hama kabsa uwe mbali nao
  14. NAKEMBETWA

    Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Hiyo kawaida mkuu demu wa mwenzako huwa mzuri ila ukishakuwa nae unona kawaida
  15. NAKEMBETWA

    Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Ila Li Zari litakuwa litamu sana aisee
  16. NAKEMBETWA

    Ni kigezo gani kimetumika kuipata Nominees ya Young Player of The Year EPL??

    Rahim starling kila msimu ni young player tu au ni forever yang? ni kama mbappe kila mwaka ana miaka 19
  17. NAKEMBETWA

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    False 9 aliiweza Pep enzi zile na Del Bosque Euro 2012
  18. NAKEMBETWA

    Nani anastahili na kwanini kuwa player of the year epl msimu wa 2018/2019

    Salah mchezaji wa msimu mmoja hayumo?
Back
Top Bottom