Search results

  1. M

    Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

    Huu ni udhaifu ambao sisi kama watanzania hatupaswi kuu vumilia. Haya ndio matokeo ya kuwa na majaji wanao fanya kazizao kwakufuata maagizo ya walio waweka madarakani au kwaajili ya kukidhi matakwa ya mtu fulani na wala sio namna ambavyo sheria inaelekeza!!
  2. M

    Kwa hili mb. Lekule Laiza ameiweka uchi serikali yake inayoongozwa na CCM

    Huyu bwana yeye kaamua tu kuweka wazi lakini hivi ndivyo vitimbi vilivyo kithiri katika majimbo ya uchaguzi 2010 eg, ILEMELA namengine mengi tu!
  3. M

    Picha: Mikutano Muleba - Heche aliyoyaacha Bukoba moto waiwakia CCM

    Kamavijana, nilazima tuunganishe nguvuzetu katika kuhakikisha tunatoa elimu kwa umma iliwapate kuelewa nizipi ambazo ni hakizao na nikwa namnagani CCM wamekuwa wakiwahujumu hakizao hasa pale wanapo wanyima elimu ya uraia nahivyo kupelekea wananchi kushindwa kujua masuala ya msingi katika jamii...
  4. M

    JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

    Amakweli "kamba ya kuloweka haichagui maji machafu"! kwa upofu huu wakitendaji CCM haiwezi kuwa na viongozi wenye kujali maslahi ya wanyonge na taifa kwaujumla! Kwakuwa haiwezekani watu walio onekana kuwa na ushawishi mkubwa kwa wananchi kwakutetea maslahi yawanyonge na taifa ndio waenguliwe...
  5. M

    Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    Watambue kuwa wanaweza kuuwa chama (CHADEMA) wana weza kuuwa watu, lakini kamwe hawawezi kuuwa mawazo ya kimapinduzi yaliyoko katika akiliza Watanzania hivisasa!
  6. M

    Zitto na movement for change (m4c-chadema)

    Kama ilivyo elezwa na mjumbe aliye tangulia hapo juu zitto yuko kimasomo ilikupata elimu katika sualazima la uchimbaji wa mafuta na gas.
  7. M

    Tundu Lissu na Wakuu Wapya wa Wilaya

    Kwampango huo wakuuu wa wilaya nao ni bomu/janga lingine tunalo lisubiri lili puke wakati wowote!
  8. M

    Chadema yatikisa ngara wanachama 2000 wajiunga

    Pamoja makamanda endeleeni kutujuza ikiwezekana tuwekeeni na picha kabisa
  9. M

    Viongozi wa serikali chini ya ulinzi mauaji ya M/kti Arumeru.

    Nape nikama bendera inayo fuata upepo hana lolote alijualo yeye kazi yake ni kuropoka tu! Nina wasiwasi halmashauri ya kichwa chake haifanyikazi vizuri!!
  10. M

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Wamebana wamebana hatimae wameachia!
  11. M

    Chupuchupu Chinjachinja ya CCM Arusha

    Nashindwa kukiafiki ulicho kizungumza kwa kuwa daraji II/relini napa fahamu vizuri sana hembu weka kwanza wazi ilikuwa ni majira ya saa ngapi?. Kwani ninavyo fahamu mimi kabla na baada ya kuvuka hilo daraja kuna nyumba kibao ziko hapo na watu wana kuwepo nje mpaka mida ya saa tano na vilevil...
  12. M

    Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

    Jamaa anaonekana kuwachokoza CCM kwakuweka maovu yao wazi kwakuwa anauhakika hata wakimtimua atajiunga na CHADEMA na watampokea na ataendelea kukubalika zaidi kwa wananchi kuliko alivyo hivi sasa huko CCM. Zaidi sana ameshasoma nyakati kuwa chamakimepoteza mvuto kwa wananchi hivyo anatafuta...
  13. M

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Ware jee historia ya Sauth Africa wataona kwamba Makaburu walipo amua kumkamata Nelsoni Mandela na kumuweka kizuizini katika gereza la Roben island ndokwanza waliamsha hisia za watu wa S.africa na kupelekea nchi kuto tawalika jambo lililo pelekea uchumi wa Makaburu kule S.Africa kushuka kuto...
  14. M

    Polisi wa Uganda wamfanyia huyu mama kitendo cha kihuni!

    Kitendo cha askari wa Uganda walicho mfanyia mwana mama huyo ni kitendo cha kinyama kabisa na hakifai kuvumiliwa na binadamu yeyote! Naungana na akina mama walio hamua kuandamana nusu utupu ili kuonesha kukerwa na kitendo alichofanyiwa mwana mama mwenzao.
  15. M

    Mtaalam wa kujaza wino laserjet p 1566

    Piga namba hii 0716665846/0753454287 GILBAT
  16. M

    Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

    Hizo ni dalili za ubabaishaji Pasco
  17. M

    Orodha ya Wabunge waliosaini kutokuwa na imani na PM

    Jana kuna taarifa zilizo kuwa zikisema wabunge wa CCM walio sign ni wa 5 ambao ni; 1.Deo Philikunjombe =Ludewa 2.Ally Keissy Mohamed=Nkasi kaskazini 3.Alhoxard Lugola=Bunda 4Murtaza Ally Mangungu na Mbunge mmoja wa viti maalum kutoka kanda ya ziwa.
  18. M

    Pinda kuweka hadharani majina ya mawaziri wanaojizulu

    Idadi ndogo ya wabunge wa CCM watiokubali kuweka saini zao katika kuiunga mkono hoja ya Mh. Zitto ina dhiditisha nijinsi gani CCM walivyo kuwa wanafki pindi wawapo bungeni na kujidai wanatetea maslahi ya umma! eg Mama Kilango, Makamba,Olesendeka na wengine wengi.
  19. M

    Sitta alikuwa sahihi kuhusu Makinda?

    Wakaiti ukimchambua mama Anna Makinda nivizuri ukatizama pia umri wake,siasa katika chama alicho kulia, mtizamo wachamachake unamtaka afanye nini na jamii ya Watanzania inamtaka afany nini?
Back
Top Bottom