Search results

  1. Star TV

    Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

    Habari Wanajamvi. Tunafuraha kuwaunganisha moja kwa moja kupitia Television ya Taifa ili kuwaletea hotuba ya Mh. Rais Dr. Jakaya Kikwete akihutubia Bunge leo hii. Kiunganishi chetu cha matangazo mtandaoni ni kilekile: StarTV Live | StarTV Karibuni na endelea Kutazama Star TV.
  2. Star TV

    Star TV mtandaoni haina sauti

    Ndugu albani, Pole na asante kwa kutujulisha tatizo hili. Tumerekebisha na sasa sauti ipo kama kawaida. Kiunganishi: StarTV Live | StarTV Shukrani na endelea kutazama Star TV.
  3. Star TV

    Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

    Tunapenda kuwashauri wapenzi wa Star TV wenye ving'amuzi vya Star Times wa-"scan" upya ving'amuzi vyao ili waweze kupata matangazo yetu. Asanteni.
  4. Star TV

    Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

    Mkuu, Tunaonekana kwenye Star Times kutokana na makubaliano na mazungumzo yanayoendelea ili kuwa na maslahi kwa wote kibiashara na kwa ajili ya kutoa huduma ya habari na burudani kwa jamii, na si vinginevyo. Asante.
  5. Star TV

    Dijitali: Maboresho ya ving'amuzi vya 'Free-To-Air' kwa majirani zetu Kenya

    Ndugu Jabulani, Asante kwa swali murua kabisa. Habari hii ni kwa lengo jema la kueneza ufahamu kwa Watanzania ya kwamba; yumkin Mtanzania ananuia kununua king'amuzi kwa ajili ya kuona matangazo ya dijitali ya chaneli ambazo ni FTA - basi king'amuzi hicho kama kina ubora unaofaa pasipokutegemea...
  6. Star TV

    Dijitali: Maboresho ya ving'amuzi vya 'Free-To-Air' kwa majirani zetu Kenya

    Siku kadhaa baada ya habari hapo juu - yaliyojiri ni kama ifuatavyo: Nukuu ya habari kutoka: Startimes Kenya Launches Free-To-Air Decoders - Nairobi Wire Habari hiyo pia iliandikwa kama ifuatavyo: Nukuu ya habari kutoka...
  7. Star TV

    Dijitali: Maboresho ya ving'amuzi vya 'Free-To-Air' kwa majirani zetu Kenya

    Ndugu MwanaJF, tafadhali pata wasaa wa kujisomea yaliyojiri kwa majirani zetu Kenya, hatimaye wakatangaziwa maboresho ya ving'amuzi walivyokuwa wakiuziwa awali kwa ajili ya kupokelea matangazo yanayorushwa na chaneli zilizo bainishwa kama za bure, yaani Free-To-Air (FTA): Nukuhu ya habari...
  8. Star TV

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Kiunganishi cha taarifa tuliyotoa, bofya hapa: ​#85​
  9. Star TV

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Kwa taarifa kamili pakua file lililoambatanishwa: Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Star TV kujiondoa Star Times. Tarehe 23 Mei 2013 Star TV kupitia mwanasheria wake iliwataka Star-Times kuiondoa kwenye king’amuzi chao ifikapo saa sita usiku wa tarehe 31 Mei kutokana na kurusha na kuuza...
  10. Star TV

    Redds - Miss Tanzania

    Wana JF, ahsanteni kwa kutujulisha. Tumerekebisha sauti. Enjoy Star TV online!
  11. Star TV

    Redds - Miss Tanzania

    Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012. Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo: Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE ​Ahsanteni.
  12. Star TV

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Ili kutoa maoni kwa njia ya simu punde line itakapofunguliwa, zifuatazo ni namba za mawasiliano hayo: +255 732 782788 +255 658 782788
  13. Star TV

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Karibuni tena siku ya leo WanaJF kwenye kipindi chetu cha Watanzania Tuongee Asubuhi. Mada yetu ya leo inahusu ni ipi misingi ya kuendeleza amani Tanzania. Host Mwanza: Yahya Mohamed Host DSM: Joyce Mwakalinga Wageni wetu Dar: Bwn. Nape Nnauye Bwn. Juju Danda Mh. Tundu Lissu Wageni wetu...
  14. Star TV

    On Star TV: TCRA na majibu kwa maswali juu ya Mfumo wa Digitali

    Wana JF, tukielekea ukingoni mwa kipindi, napenda kuwashukuru kwa maswali mengi yenye changamoto kubwa katika matayarisho yetu kama jamii kuingia mfumo wa digitali. Akhsanteni.
  15. Star TV

    Live On Star TV: Kipindi maalum na TRA kuhusu mauzo na utoaji risiti

    Ndugu Wana JF, tunashukuru kwa ushirikiano wenu. Tunapenda kuwaarifu kuwa kipindi hiki kitamalizika saa nne na dk 50 (22:50 EAT) badala ya 22:30 kama tulivyopanga awali kutokana na kipindi kuanza nje ya muda tuliokusudia awali. Aksanteni.
  16. Star TV

    Live On Star TV: Kipindi maalum na TRA kuhusu mauzo na utoaji risiti

    Muda si mrefu tutakuwa hewani na wageni wetu.
  17. Star TV

    Live On Star TV: Kipindi maalum na TRA kuhusu mauzo na utoaji risiti

    Ndugu Wana JF, Tunapenda kuwatangazia kwamba, usiku huu, kuanzia saa tatu na nusu mpaka saa nne na nusu (21:30 - 22:30 EAT) tutakuwa na kipindi cha moja kwa moja (LIVE) kwenye station yetu ya Star TV. Wageni wetu watakuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Tunapenda kuchukua fursa hii...
  18. Star TV

    STARTV: Maamuzi ya NEC-CCM kuelekea 2015

    Ahsante, hata hivyo muda wa kupiga simu umepita, na kipindi ndiyo kimefika tamati.
  19. Star TV

    STARTV: Maamuzi ya NEC-CCM kuelekea 2015

    Namba za simu: 0732 782788/ 0658 782788
  20. Star TV

    ON STAR TV LIVE: Demokrasia Tanzania na Nafasi ya Vyama vya Upinzani

    Tumefikia tamati ya kipindi hewani. Ahsanteni.
Back
Top Bottom