Search results

  1. E

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA wilaya ya Ilemela ajiengua uanachama!

    Huyo mnafiki..tuulize tuliye kuwa naye shule tangia msingi (kokeharaka pri.) Kwanza ni hamnazo....chadema wajiangalie sana kuwapa watu madaraka katika chama ambao si wazalendo na wananchi...na arudi kwao masangora akalime tumbaku, kucheza kamali na kuchoma watu visu usiku wakitoka...
  2. E

    Kweli the blues walistahili....

    kama hukupata kushuhudia penalties shooting. walio mbele yako ni Essien na Ramires wakingoja kushangilia penalt ya mwisho iliyofungwa na Drogba hii picha niliichukua life.....
  3. E

    hawa ndio wamarekani

    hivi kweli serikali hii ya ccm inawajua wamarekani, mpaka kuweka nchi rehani kwa net. waliojengwa na marekani hawa hapa...
  4. E

    Mkao wa wa Kupigwa Picha - Umependa Ipi Hapa

    no.3 ndio kali. mpka natamani kuwa mpiga picha
  5. E

    Kazi na dawa

    Eti huyu ni mwl. wa sekondari ktk taasisi moja kubwa tz. miezi 2 bila salary. what do you expect...
Back
Top Bottom