Search results

  1. K

    Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Nilishangaa sana!!!! Akasema tena eti mtoto wake amedhaminiwa kuvalishwa mwaka mzima na duka maarufu dar Eti nayo maendeleo!!! Sijui huko international wanaongeaje
  2. K

    Chanel Ten Vipi na Habari ya Lowassa?

    Nashangaa na mimi
  3. K

    Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

    Acha uongo Mtungireh alikuwa mbunge wa Kyelwa karangwe, ambapo kwa sasa linashikiliwa na Katagira kutoka CCM. Unaropoka wakati hata data ndogo tu hiyo inakushinda.
  4. K

    Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

    wakuu kuna mtu alitupia uzi humu kuwa atakuwepo Mwigulu Nchemba kwenye kipindi cha dakika45 ITV soo nikadharau nikuagalia nikajua ni pumba zake tu! kumbe alikuwepo mtu mzima! sijui kulikuwa na maana gani ya kupotosha
  5. K

    Sehemu ya kile alichokiongea Sugu katika ziara yake kama Mbunge wa Mbeya Jimboni Kyela(27/12/2014)

    naomba msaada wa tathmini ya uchaguzi wa serikali za mtaa kwenye jimbo la mwakyembe.
  6. K

    Mwahalisi

    Kwa kweli hili twende nalo mpaka ije ifike 2015 pumba na mchele vitakuwa vimeishajitenga!
  7. K

    Mwahalisi

    Yaan siyo la kukosa! Now nimeweka bajet yake kila wiki.
  8. K

    Mwahalisi

    Thanks God Mwanahalisi imerudi kwa njia ya Gazeti la Mawio! Linatoka kila Alhamisi!! Now everything is open!!
  9. K

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    Poleni sana maana mlikuwa mimejiandaa na manguo yenu ya kijani! Kwa kifupi poleni sana hii siyo enzi ya JK! Hatudanganyiki tena! Shame on you!
  10. K

    Chadema hizi pesa mtalizipaje?

    unajiuliza wewe mwenyewe na hao vilaza wenzako, usitujumlishe wote, watu tuna akili zetu tunajua wapi tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
  11. K

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    vipodozi vimeathiri Ubongo wake kufikiri!! Na bado NAPE hiyo ni behind the sin subiri movu yenyewe ikitoka 2015.
  12. K

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    tutajie kwanza wamiliki wa KAGODA, wezi wa EPA, waliohusika kwenye ununuzi wa RADA. Andthen ndo uje ututajie wafadhili wa Chadema!! Nyie wakati mna sign mikataba ya madini Uingereza tena hotelini mnadhania c wajinga! We dogo modulaoblanga yako siyo nzima.
  13. K

    Serikali isikilize na kujibu hoja zinazotolewa na mbowe sasa hivi bungeni.

    anaongea kuhusu nini? Wengine hatuna TV wala Redio kwa muda huu! Tupe hits
  14. K

    Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

    ngoja kwanza nitoroke ofisini, nikajipongeze walau kwa kiroba cha konyagi! People Power bwana!!
  15. K

    Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

    william ModulaOblanga yako siyo nzima.
  16. K

    Baada yakuitwa dhaifu JK atua Dodoma

    hajaenda Marekani kuomba mipira ya Basketball
  17. K

    Jana mheshimiwa rais kanilet down vibaya sana

    tunaomc jibu jaman mr Sangara, Mr Ziro anauliza is it TRUE OR FALSE
Back
Top Bottom