Search results

  1. Okya

    Mke wangu hajarudi nyumbani toka aondoke jana asubuhi!

    Pole usijali aweza kuwa c yeye then huwezi jua amepatwa na nini akiwa njiani,rudi home then utajua cha kufanya
  2. Okya

    umbea...............

    Hahahahahaaahhah.....mic ya jamaniii...
  3. Okya

    Bringing up your Kid to be Appreciative...

    What your saying is perfect true and parent should notice this as a example to there family for sure, So that we could have a good people and responsible
  4. Okya

    Girl Dies After Sleeping With Monkey!

    That punishment ho could she do such thing? is because of money, wanna do some test to how its feels like? How bad she end up die
  5. Okya

    i love u so much please understand me

    Pole dadaa, tatizo ni vile amechukulia here watu wanafanya mambo bila kumaanisha dat y hawezi kuwa na wewe imeshajijenga akilini mwake, pia kuna uwezekano anakupenda na hayupotayari kuwa na wewe kwasababu, may be he has a family . so kwa ushauri tu just stay a way na huyo mtu kama anakupenda pia...
  6. Okya

    Hatujaoana lakn hapendi tutumie condoms

    Pole, kama ndivo atakavo na wampenda mpenzi wako na yeye anakupenda bac chukua huwamuzi wa kumuomba mkapime wote mjue afya zenu then muwe makini katika mambo mengine.
  7. Okya

    Kuuawa kwa Veronica: Je kilikuwa ni kifo cha kujitakia……………?

    Siku zote mwenye kutaka kufanya ulimwengu uwe katika hali nzuri upingwa, na wahusika kupata hisia za kwamba yu anawasabababishia hasara ama kuwaharibia maisha yao, kifo cha veronika ni cha kusitkitisha na cha kinyama,hakustahiri hilo kifo cha namna hiyo. ila ndo hivo ukijifanya yu mwema sana...
  8. Okya

    naomben iushauri wapendwa

    Nikwambie kitu hawana lolote hao ulowahi kuwa nao kimahusiano na tena hawajua thamani ya hiyo zawadi ulonayo,pia walitaka tu kukuchezea na kukuacha kutokana na hilo mungu amekuepushia,tulia dada utampata wa ukweli mwenye kujua thamani ya hicho ulichonayo. Mumeo atajivunia juu ya hilo so endelea...
  9. Okya

    My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

    Wanaume hawakubali kuachwa na ikitokea hivo basi itamgarimu akuharibie haswa akiona unamtu mwenye kujiweza na mko na furaha atafanya juu chini haichukue happiness yako. cha kufanya ongea na boyfriend wako wa sasa muelezee situation ilivo then yeye atajua namna ya kukusaidia okay, mpuuze huyo X...
  10. Okya

    Nimeharibiwa week-end yangu.... lol!

    Mkosefu wa akili na ni mfinyu wa akili so achana nae,Hana adabu na huenda ata shemeji na watoto zake anatafuna huyo. Pole mwenzangu hayo matatizo yanatukuta sana kwenye ofic za watu
  11. Okya

    Simon Matheri Ikere: Handsome aliyeitikisa Kenya....!

    Y kujiingiza katika hatari ona sasa umeiachia maumivu familia yako iliyo kuwa ikikutegemea! Pole kwa familia yako na mungu akuhukumu kwa matendo yako Amin.
  12. Okya

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    Dada wa ndani ni muhimu sana katika maisha yetu so twapaswa kujali kiasi asijitambue kama yu house girl wako
  13. Okya

    Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

    Pole,chochote ukitia hofu tu na ukisiliza watu wanavojaji bac vinazuka vya ziada na ugonjwa kuongezeka kwa kasi.
  14. Okya

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    atusaidia sana hii,Asante
  15. Okya

    Mamboozii?

    Naitwa Okya mwanachama mpya wa JF naomba ushirikiano wenu,napenda marafiki wa jinsi zote,wa kuchat na kubadilishana mawazo. Asanteni
  16. Okya

    Nikimuona nahisi uchungu na hasira moyoni

    Kwa takribani miaka 21 kuacha kuwa na mahusiana naye kwasababu maneno machafu na yanayochafua roho na kutojali kwake,nilidhani naweza msahau na tukawa marafiki but kiukweli namchukia baba yangu as long napomuona sijisikia sina raha kumuita baba wala kuwa nae karibu Roho inauma...
  17. Okya

    Changamoto za Sajuki,kujitambua kwetu na uhusiano wa kinafki

    Naskia huruma na uchungu kwa hali alofikia,namuombea kwa mungu atie nguvu na kurejea katika hali yake ya mwanzoni,ndugu zangu tujijengee tabia ya kwenda kucheki Afya zetu japo mara moja kwa mwezi,hii itaturahisishia kuepukana na sapriz za magonja yanayokuja tutishia baadae yanapoamua kujitokeza...
  18. Okya

    Urembo: Jinsi ya kuzuia na kuondoa wrinkles

    Yes, kama unataka urembo basi vitu vya hasili ukitumia unakuwa mrembo like me na wengine wengi huna haja ya kutumia mahela kwa kununua mavipodozi ya gharama alafu baadae hukiishiwa ngozi inaharibika na kuwa namabaka mabaka. Acheni jamanii Asili inatosha kukufanya mrembo zaidi .
  19. Okya

    Nampenda huyu kaka

    Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani aniambie chochote nimfanyie,natamani kumuanza naogopa pengine anahisia zozote juu yangu,Naomba mnisaidie...
Back
Top Bottom